Wasukuma wenyewe wq kike ndio hao wanagawa utelezi..heshima gani wapeweANGALIZO: MASANJA SIO MSUKUMA.
NI MTU WA MBEYA, RUJEWA, MBARALI, UBARUKU KWA WALIMA MPUNGA!.
MASANJA NI JINA LA MAIGIZO YEYE NI EMMANUEL MGAYA.
LINDENI HESHIMA YA WASUKUMA!.
Wewe ndo unawaona vicheche lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda slut chicks mnajishaua tu hapa.sio mie hili ni lenu na vichechede vyenu vya kuvaa shanga shingomi n hereni 😎😂
Video hiyo hapo
View attachment 2378508
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini."
"Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu wanachoongea, endelea kuamini katika ukweli ya kwamba tunachokwambia mke wangu mimi ni mke ambaye mnaishi naye hapa kanisani mnaelewa. Ni mke ambaye anajichanganya na ninyi, hatengenezi umbali kati yenu na sisi, na hili ni darasa nililifanya kwakwe."
"Anaongea na watu wote, anacheka na watu wote, hivyo ndivyo huyu mwanamke alivyo. Haiwezi kutokea tutengeneza mazingira ya kumfanya asiongee na watu."
"Natamani dunia ielewe leo kwa jinsi ninavyomuelewa huyu msichana, tuweke uchungaji na kanisa pembeni, nimkute uso kwa uso anapiga "gemu" na mtu, namkamata kwanza wife halafu nampima yule jamaa nammudu au simmudu? Nikiona hii ngoma siiwezi kuzipanga atanipasua, nitarusha maneno tu lakini wife naondoka naye."
"Sisi tumeoana hadi kitutenganishe kifo. Hakuna stori hapa kati kati, mchawi, pepo, jini cha kusambaratisha. Nataka nikukwambie mabaya yote yanayokuja mbele yetu hatushindi kwa akili, uweza na nguvu zetu, tunaye anayetupa kushinda, ndiyo maana nina uhakika wa kubaki na mke wangu mpaka siku ya unyakuo."
Fimbo ni fimbo tu hata iwe ya wapi.lkn sio hizi za Dar😎☹
afu wewe 😂😂😂Wewe ndo unawaona vicheche lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda slut chicks mnajishaua tu hapa.
Huko mlipo wake zenu hawawezi tena mambo wapo wapo tu wameshakosa ladha au wamewachoka na hao vicheche ndo pona yenu.
nyoo muone usheanza ku😂😂😂👌💦💦
Tatizo ukweli unaujua lakini ubishi tu umekujaa, ili mradi tu ubishe...tuongee uhalisianyoo muone usheanza ku😂😂😂👌💦💦
ukweli upi unaoujua weyee nisoujua mie mkongwe👌😎Tatizo ukweli unaujua lakini ubishi tu umekujaa, ili mradi tu ubishe...tuongee uhalisia
Sio lazima uwe mkongwe kutambua ukweliukweli upi unaoujua weyee nisoujua mie mkongwe👌😎
DM please😎😙
na pia ni mshamba sana wa wanawakeJamaa ni Msangu au Mbena toka Mbarali au Njombe huko kusini
Aisee yamekuwa haya tena !Mbona mnakula makombo kila siku na mnakojoa hadi makamasi yanawatoka
Nasema uongo ndugu yangu?Aisee yamekuwa haya tena !
Rich mavoko sioni diamond[emoji445]....ukichapiwa ni siri ya ndani....[emoji445] Diamond Platinumz