Hapo kunuka K hadi sasa nikimuona naona sauti ya kunuka kHakuna kitu kibaya kama maneno ya watu na hapo si kweli kama anavyoonekana kutojali ila deep in side anapitia kipindi kigumu kuliko chote iwe ni kweli aliliwa au hajaliwa,tayari maneno tuu yameshabadilisha mustakabali na peace of his or her mind. Mfano Jackline wolper alipoambiwa na Mange ananuka K hivi unafikiri hilo neno mpk leo limemtoka Jack?.kila akikumbuka lazima aumie iwe ni kweli au uongo. So nachotaka kusema ni hiki maneno yana distruct moyo wa mtu kuliko hata ugonjwa. Ngoja tuendelee kuona
Hii ndio formula inayoniongoza na imenisaidia sanaMke wa Kaisari hatakiwi hata tu kutuhumiwa!
Mavoko🎶....ukichapiwa ni siri ya ndani....🎶 Diamond Platinumz
Jamaaa mjanja kuliko tunavyofikiria.Katibu amejiua bure kumbe Masanja hana noma na MTU.
Watu hamkomi kufuata mlichoamua mioyoni mwenu.. yaani mwenye mke kaongea lakini bado hamtaki.Kinachokindwa hapa sio ndoa bali ni reputation, legacy na vyanzo vya pesa
Kwahiyo aweke msiba kwa ajili ya yule mpuuzi? Kwasasa asonge mbele maana ili kanisa lipone ni lazima yeye aoneshe ujasiri na upendo wa Kristo.Lakin kumbuka kuna mtu amejiua walitakiwa wakae kimya na kutoa pole kwa msiba angebalance sasa wanafurahi utafikiri kawaida tu wakati mtu kajiua kwaajili ya mkeo
Ni wa kawaida sanaOa mke ambae akipita wana mitaani hawageuki wala kupata wenge. Huyu boya kaoa mke mzuri afu kamfanya awe maarufu kama yeye. Wana watadinya tuu.
Ndiyo Hii Watanzania Siyo WajingaFunika kombe mwanaharamu apite.
Unadhani kugawana mali kitu rahisi?Bora angenyamaza tu. Ni kama yupo defensive, body language inamkataa anachosema
Hata wake zetu wanaliwa nje ya ndoa sana, nao ni malaya tu kama malaya wengine sema story zao hazijafika kitaa kama zao.haibadilishi ukweli kuwa mke wake ni malaya tuu anapigwa nje ya ndoa, angekuwa ni girlfriend sawa ila mke...mama mchungaji kupachikwa utambi nje ya ndoa ni fedhea kweli kweli
Upo ushahidUbaya au uzuri hakuna ushahidi wa utambi kupachikwa
Aliyeimba ni Rich mavoko, wimbo Roho yangu[emoji445]....ukichapiwa ni siri ya ndani....[emoji445] Diamond Platinumz
Masanja hayupo sawa to be fair, na ndiyo maana anatoa conflicting messages kwenye public.Ndugu umeoa?