Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Hii inanikumbusha enzi za Mwendazake pale Daudi Bashite alipovamia Clouds na mtutu, wengi tulitegemea ndio itakuwa mwisho wake kwenye ukuu wa Mkoa, ila Mwendazake alimkingia kifua na kumwambia mwanangu endelea kuchapa kazi...
 
wewe ngoja hayo maumivu ya kichwa uanza taratibu.
Hii movie watu walitegemea kuwa Masanja atamuacha mke wake sasa matarajio yamekua tofauti hapo ndio wanahamasisha uchunguzi uendelee...Masanja kumtoa hapo labda mtumie Bulldozer linalovuta vitu visito sana...
 
Tuko kwenye dunia ya ajabu sana
Bila kuthibitisha yanayoongelewa inakua ngumu kidogo kutoa hukumu

Hata Yusufu mwana wa YAKOBO alituhumiwa kumbaka mke wa mtu kumbe uongo mtupu
Lkn Yusufu alikonda/alisononeka kuishia gerezani, yaani utumwani km haitoshi then Grezani!! ila mke wa potifaa alifurahi nini, kapenzi kake kuwa gerezani??!.......make ndo alimkosa mazimaaa.....

lkn Mama D!! hivi?? kwa nini yusufu hakumchapa yule Mama??

na mambo yakaisha?? si mama alimpa tumbua mwenyewe??? hata baada ya yusufu kutoka gerezani na kuwa Mkuru wa Misri!....hatukumsikia tena yule mke wa Potifa, akimtafuta mpenziwe wa zamani! kwa nini.......

wala potifa mwenyewe na kizazi chake tenaaa hakisikiki km cha yusufu! sijui yusufu alimfanyaje yule Boss wake wa zamani??? na hatujui kuwa Potifa alitambua km ule ubakaji ulikuwa uongo au ukweli!!

Kama Potifa hakujua kuwa yusufu anasingiziwa ni wazi alitimiza wajibu wake halikuwa kosa lake!!! inawezekana pia huyo jemadari potifa alijinyonga kwa uchungu,

Yaani baada ya mbaya wake kupata ukubwa wa Serikali ya Misri!! alijua sasa amekwishaaa! Mama D unasemaje ....jibu!..............
 
Hakuna kitu kibaya kama maneno ya watu na hapo si kweli kama anavyoonekana kutojali ila deep in side anapitia kipindi kigumu kuliko chote iwe ni kweli aliliwa au hajaliwa,tayari maneno tuu yameshabadilisha mustakabali na peace of his or her mind. Mfano Jackline wolper alipoambiwa na Mange ananuka K hivi unafikiri hilo neno mpk leo limemtoka Jack?.kila akikumbuka lazima aumie iwe ni kweli au uongo. So nachotaka kusema ni hiki maneno yana distruct moyo wa mtu kuliko hata ugonjwa. Ngoja tuendelee kuona
tushajua masanja hana show na mkewe katoa mbwa nje. mengine haya anazuga
 
Huyo mke wake ni wa kushtua mtu kweli?..

It seems like kila mtu ana namna yake ya kuuona uzuri wa mdada.
Ndo tatizo la vibamia yaani utawajua tu!! ...........;;sizitaki mbichi hizi'', kwanza sikia... mdada maji ya kunde si mnene kiviile si mwembamba, pua yake ndefu isiyoonyesha kamasi, inaonyesha ana kina kizuri!! Lips zake sisemi sana!

Mkia ule! unauona kajaliwa mwenzio yaani siyo riji-mtambo la kufua fungus ule! km wa mkeo! anajua kuongea vizuri kwa ma-pause!...Rangi yake tu adimu ya pekee! asa unatakaje weye??

Au inawezekana wewe ni ile jinsia pendwa ya upande wa pili...nyie bana kuoneana wivu hamjambo!! unaona km anakumalizia au atakuchukulia, kifupi nitashangaa sana km

Weye ukiwa Dume halisi! la mbegu vinginevyo dhihirisha hapa!! tutakuandika kwa kuvunja rekodi ktk Guiness' Book of record!.....Huyu Mdada ni mzuri tena sana tu usijishebedue hapa kwa wivu wako huo!

Mara nyingi wadada wa hivi wana kismart, km vyote cha kuongea cha hela, mafanikio km zote! sasa nikuulize Masanja hana Mafanikio?? huo pia ni uzuri wa mke tena kuliko wooote!
 
Kwanini asipate nguvu na nyie wenyewe mnakiri kuwa Mungu anasamehe dhambi yoyote ile?

Kama ni mjasiri ataweza na siku si nyingi mtamsahau midomoni mwenu.

Halafu mnawapa kick bila kujua...watu wanapenda mambo ya kipuuzi kama haya utashangaa kanisa lake likafurika kama la mwamposa halafu mrudi hapa mseme alitoa kafara.
Umeelewa ulichosoma??
Basi weka ushahidi wa Hakika uwasaidie familia na police
Nyie wanawake Monica inabidi awatafute awashukuru. Mmesimaa naye katika kipindi hiki kigumu.
 
Nyie wanawake Monica inabidi awatafute awashukuru. Mmesimaa naye katika kipindi hiki kigumu.
Tujifunze kutokuingilia mapenzi ya watu. Watu wakisema wanapendana haijalishi wanafanya nini tuwaache. Hayo ndo aina ya malenzi waliyochagua. Sio lazima tufanane
 
Haibadilishi ukweli kuwa mke wake ni malaya tuu anapigwa nje ya ndoa, angekuwa ni girlfriend sawa ila mke...mama mchungaji kupachikwa utambi nje ya ndoa ni fedhea kweli kweli
Wewe una uthibitisho gani?
 
Back
Top Bottom