Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

😘😘
 
Masanja alitia kinyaa sana yaani anaongea yeye huo ujinga aibu unaona msikilizaji, hiyo nafasi wangempa mpoki
Mpoki naye ni wale wale.

Hukumbuki alivyochomesha siku ya simba day akasema ukipigwa wimbo wa taifa wa congo watu wakate viuno?

Kwa kifupi wachekeshaji wote wa bongo ni chenga tu hawafai kupewa nafasi kwenye matukio makubwa makubwa hasa yanayohusisha viongozi wa kutoka mataifa ya nje.
 
Ndio wapiga debe wa CCM hao. Hata mwenda kuzimu alipo zuia safari za nje walimpigia makofi na kumpongeza. Mama kawa Vasco da Gama wana msifu. Ccm hawajulikani kama ni popo au ndege!!

Wakati Magufuli hasafiri mlikuwa mnasema hoo hasafiri kajifungia tu, ni mshamba nk

Hangaya anasafiri bado mnaalaumu.
 
Pamoja na kwamba Masanja kakosea ila wewe ndio taahira kabisa na hayo majinga menzio!

Wakati Magufuli hasafiri mlikuwa mnasema hoo hasafiri kajifungia tu, ni mshamba nk

Hangaya anasafiri bado mnaalaumu.

Mibavicha bure kabisa
Hatukuwa tunasema ooh hasafiri kajifungia tu ni mshamba. Hapana unakwepa kwepa kwa nini tulichokuaga tunasema? Ni kuwa hakuwa hajui kiingereza ndio hicho tulikuwa tunasemaga halaf unakwepa kusema hapo. Na ni kweli sababu kuu ya Jiwe kuogopa kusafir ni kiingerereza tu baas.

Kama sababu ingekuwa kubana matumizi basi asingeiba rambirambi na matrillion hazina.

KIINGEREREZA NDIO SABABU PEKEE ILIMFANYA FEDHULI KUOGOPA KUSAFIRI BAAS!

Idugunde the witch Magonjwa Mtambuka
 
Nimekuja kuelewa sasa kwa nini ule uzi umeandikwa hivi ‘ kagame aonekana kanuna muda wa kupitisha silaha za kivita’

Kumbe sababu ni masanja na kejeri zake . Tatizo kijana analazimisha serikali imkumbuke kwenye teuzi ila inawia vigumu kwa mtu hasiyekua na elimu ata ya darasa la 7
 
Hatua ya kuchukua: kwanza hawa makomedia wasiwe katika sherehe ambazo zinawakusanya waalikwa kutoka nje ya nchi. Hakuna anayefahamu au kufahamu muktadha (context). Pili: Makomedia lazima waandike script, kisha ipitiwe na kupitishwa. Huyu jamaa leo amefanya blunder kubwa. Hiyo ya kutukana, na ile ya kutaka vita na Rwanda ili kuwapima 'makomando wetu!'. Maneno ya kikichaa kabisa. Sijui Kagame amelichukuliaje hilo! Kwa kweli ni uvunjaji wa Diplomatic etiquette (itifaki za kidiplomasia).
Sishangai! Katika kuchumia tumbo mtu huweza kwenda masafa marefu sana. Vizuri kuwe na udhibiti. Script itawazuia kuropoka.
 
Ni wapi alisema hasafiri sababu hajui kingereza?

Na kama ni hivyo mbona wakati hasafiri mlilaumu na huyu anasafiri bado mnalaumu?

Bqvicha mna shida sana vichwani mwenu
 
Ndio wapiga debe wa CCM hao. Hata mwenda kuzimu alipo zuia safari za nje walimpigia makofi na kumpongeza. Mama kawa Vasco da Gama wana msifu. Ccm hawajulikani kama ni popo au ndege!!
Hata wewe utaenda kuzimu siku moja wewe vyeti feki
 
The boy has just lost it

Kachanganya madawa mno

Usanii, biashara, kanisa na utapeli

They always end up confused
 
Mimi nimecheka sana kale kengine kanajifanya Nyerere yaani kalikuwa kanatoa vijisauti fulani hivi havisikiki eti kama Nyerere ahahaha kafala sana kale
 
Aiseee tunakosa sana torelance.

Kwani wenye hoja ya kwamba ana safiri sana kosa lao ni nini?
kosa lao Ni kwamba kipindi Cha awamu ya 5 waliponda sana kwanini Magu hatoki nje Wala kusafiri na ndio hao hao wanahoji kwanin maza anasafiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…