Bright eyes
JF-Expert Member
- Dec 7, 2021
- 228
- 303
Unaonaje siku nyingine hiyo nafasi tukakupa wewe kabisaMasanja alitia kinyaa sana yaani anaongea yeye huo ujinga aibu unaona msikilizaji, hiyo nafasi wangempa mpoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje siku nyingine hiyo nafasi tukakupa wewe kabisaMasanja alitia kinyaa sana yaani anaongea yeye huo ujinga aibu unaona msikilizaji, hiyo nafasi wangempa mpoki
😘😘Masanja kaongea kihuni lakini ujumbe mpana umeeleweka vyema. Watanzania tunapenda sana kulialia.
JPM alipokuwa hasafiri watu walimnanga wakasema kingereza chake ni not reachable. Amekuja Mama anafanya kinyume na mtangulizi wake bado nongwa ni nyingi tu.
Lugha kali ya matusi lakini ujumbe umefika.
Mpoki naye ni wale wale.Masanja alitia kinyaa sana yaani anaongea yeye huo ujinga aibu unaona msikilizaji, hiyo nafasi wangempa mpoki
Ndio wapiga debe wa CCM hao. Hata mwenda kuzimu alipo zuia safari za nje walimpigia makofi na kumpongeza. Mama kawa Vasco da Gama wana msifu. Ccm hawajulikani kama ni popo au ndege!!
Leo umechemsha MasanjaK
Unaonaje siku nyingine hiyo nafasi tukakupa wewe kabisa
Kauli ya kijinga kabisa hii. Kagame hapendagi Sana ujinga kama huuvitumike Ile statement ilikuwa offensive kwa Kagame na Mabeyo kwa nchi na ya kichochezi why amtaje Kagame na sio Rais mwingine yeyote aliyeko pale? Why Kagame? Siku ingine
Too much of everything is harmful. Watanzania wanataka rais anayefanya safari za nje kwa kiasiWakati Magufuli hasafiri mlikuwa mnasema hoo hasafiri kajifungia tu, ni mshamba nk
Hangaya anasafiri bado mnaalaumu.
😄😄 Kagame nchini kwake kwenyewe hataniwagi, huko alipo anajiuliza huyu ni nani wa kuniletea shobo kiasi hiki.Kauli ya kijinga kqbisa hii. Kagame hapendagi Sana ujinga kama huu
Je mwenye elimu kama kabudi na Bashiru wafanyejwe?Mtu asiye na elimu ni wakupuuza kama Dr Musukuma.
Hatukuwa tunasema ooh hasafiri kajifungia tu ni mshamba. Hapana unakwepa kwepa kwa nini tulichokuaga tunasema? Ni kuwa hakuwa hajui kiingereza ndio hicho tulikuwa tunasemaga halaf unakwepa kusema hapo. Na ni kweli sababu kuu ya Jiwe kuogopa kusafir ni kiingerereza tu baas.Pamoja na kwamba Masanja kakosea ila wewe ndio taahira kabisa na hayo majinga menzio!
Wakati Magufuli hasafiri mlikuwa mnasema hoo hasafiri kajifungia tu, ni mshamba nk
Hangaya anasafiri bado mnaalaumu.
Mibavicha bure kabisa
Ni wapi alisema hasafiri sababu hajui kingereza?Hatukuwa tunasema ooh hasafiri kajifungia tu ni mshamba. Hapana unakwepa kwepa kwa nini tulichokuaga tunasema? Ni kuwa hakuwa hajui kiingereza ndio hicho tulikuwa tunasemaga halaf unakwepa kusema hapo. Na ni kweli sababu kuu ya Jiwe kuogopa kusafir ni kiingerereza tu baas.
Kama sababu ingekuwa kubana matumizi basi asingeiba rambirambi na matrillion hazina.
KIINGEREREZA NDIO SABABU PEKEE ILIMFANYA FEDHULI KUOGOPA KUSAFIRI BAAS!
Idugunde the witch Magonjwa Mtambuka
Kusafiri kwa kiasi ni kama vipi?Too much of everything is harmful. Watanzania wanataka rais anayefanya safari za nje kwa kiasi
Hata wewe utaenda kuzimu siku moja wewe vyeti fekiNdio wapiga debe wa CCM hao. Hata mwenda kuzimu alipo zuia safari za nje walimpigia makofi na kumpongeza. Mama kawa Vasco da Gama wana msifu. Ccm hawajulikani kama ni popo au ndege!!
The boy has just lost itKauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?
Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.
kosa lao Ni kwamba kipindi Cha awamu ya 5 waliponda sana kwanini Magu hatoki nje Wala kusafiri na ndio hao hao wanahoji kwanin maza anasafiri sana.Aiseee tunakosa sana torelance.
Kwani wenye hoja ya kwamba ana safiri sana kosa lao ni nini?