Tanzania kuna free speech au hakuna free speech?kosa lao Ni kwamba kipindi Cha awamu ya 5 waliponda sana kwanini Magu hatoki nje Wala kusafiri na ndio hao hao wanahoji kwanin maza anasafiri sana.
Alinishangaza kwa kauli ya kutest mitambo na nchi jirani kweli huyu jamaa na waliompa hiyo furusa ya kuropoka ni mafyatu si wangemhariri anachota kuongea kabla yani ameboa mpaka rais kakelekaKauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?
Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.
ipoTanzania kuna free speech au hakuna free speech?
Sasa kama ipo mtu akitoa maoni yake utasemaje ni makosa?
na kwanini muone Masanja kakosea?[emoji853]Sasa kama ipo mtu akitoa maoni yake utasemaje ni makosa?
amekosa torelance....na kwanini muone Masanja kakosea?[emoji853]
kwa mujibu wakoamekosa torelance....
Hii kauli hasa ndio inawatoa watu povuu 😀 . Leo wanamuona masanja eti mchekeshaji gani, wakati miaka yote wanafuatilia vichekesho vyake leo eti wanamsaliti 🤣 jamaaaIla kaongea ukweli, mlitaka wasafiri mama zenu
Tangu enzi na enzi, wasanii ni watu wa kutumika kuburudisha jamii na hawakutegemewa kwa jambo lolote la kiuongozi au busara. Ni watu wasio na maadili wanakata mauno mbele za watu na kufanya vitendo visivyo na staha.Ccm mnatuzalilisha sana! Hivi wanaachaje kujua nini Masanja ataongea; wakati Ni:
- Mropokaji
- Hana busara
Hivi kweli serikal haina chujio la content Kwenye audience serious Kama ile?
Hii nchi imekuwa ya hovyo sana Kwa kweli, kweli mnatuzalilisha! Ila Mbowe sio gaid
Elimu ipi?Mtu asiye na elimu ni wakupuuza kama Dr Musukuma.
Masanja ni mchungaji kama Msigwa!
Kifupi Masanja na yule mwenzie hawakuwa wamejiandaa kufanya VIP comedy walikuwa wakihutubia na kuvurumisha matusi badala ya kuchekesha hopeless kabisa
Masanja hajui VIP comedy inatakiwa isiguse individuals on any way offensive. Kaniudhi sana aliposema Vifaa vyetu vya Kavita vya kisasa vinapata kutu tu havitumiki kivita akamtaka Mkuu wa Majeshi Mabeyo aongee na Raisi Kagame ili waliamshe waanzishe vita ili vitumike Ile statement ilikuwa offensive kwa Kagame na Mabeyo kwa nchi na ya kichochezi why amtaje Kagame na sio Rais mwingine yeyote aliyeko pale? Why Kagame? Siku ingine waigize kabla vyumbani huko chini ya usimamizi kabla kuonyeshwa public
Huyo mwigiza sauti ya Nyerere naye hopeless ohhhh mke wangu Maria Nyerere yule pale, mWanangu Hussain Mwinyi, kijana wangu Majaliwa ujinga mtupu hakuwa na theme nyingine isiyokuwa offensive?
Kiujumla nobody should be allowed just ku perform chochote Mbele ya VIP mpaka kionwe kwanza
Hana ajili Masanja nadhani atakuwa alivuta bangi
Hatukuwa tunasema ooh hasafiri kajifungia tu ni mshamba. Hapana unakwepa kwepa kwa nini tulichokuaga tunasema? Ni kuwa hakuwa hajui kiingereza ndio hicho tulikuwa tunasemaga halaf unakwepa kusema hapo. Na ni kweli sababu kuu ya Jiwe kuogopa kusafir ni kiingerereza tu baas.
Kama sababu ingekuwa kubana matumizi basi asingeiba rambirambi na matrillion hazina.
KIINGEREREZA NDIO SABABU PEKEE ILIMFANYA FEDHULI KUOGOPA KUSAFIRI BAAS!
Idugunde the witch Magonjwa Mtambuka
Hata mimi nashangaa!Muwe mnaangalia na watu wa kuwajadili hapa jf sasa huo ukoko wa makalioni ndio wakujadiliwa hapa kweli?!
Tatizo nchi haina rais wa kweli tangu 2015Siku hizi wamerahisisha kila kitu, teuzi wanapewa vichaa bila kufanyiwa vetting yoyote, sishangai hata huyo nabii uchwara nae wamemuokota jalalani wakampeleka akatoe speech tena ametamka huo upuuzi mbele ya wageni waalikwa, sijui tunaonekana taifa la aina gani mbele za waliostaarabika.
Masanja atakula uteuzi kabla yako.Masanja kaongea kihuni lakini ujumbe mpana umeeleweka vyema. Watanzania tunapenda sana kulialia.
JPM alipokuwa hasafiri watu walimnanga wakasema kingereza chake ni not reachable. Amekuja Mama anafanya kinyume na mtangulizi wake bado nongwa ni nyingi tu.
Lugha kali ya matusi lakini ujumbe umefika.