Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Wangekuua ohoooo
 

Kwani wewe hujui ya kuwa huyu jamaa ni MSANII
 
Hahahaha teh tehe teh .

Mtakuja kufa, siku ingine anguka mwenyewe tu mkubwa.
 
Aliwapa hela kabla ya show
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
Umeandika unakunywa urojo
 
Mbavu zangu...! Eti pepo mkorofi!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee..
 
Duh! Nyie madogo, mtavunja mbavu za watu bure
 

Mkuu umeandika alichotaka kuandika jamaa yetu huyu myao
 
Kwahiyo umati wote ule hakuna aliyeona kama ni kipigo kimetumika na sio maombi?

Alafu hivi hii issue ya kunguka mbona wanaangukaga wanawake tu? Wanaume hawaanguki kwanini?
 
Hawana lolote ni usanii tu, waangukaji wengi ni Wanawake, ikitokea dume basi ujue limejiendekeza tu.

Wanawake wana matatizo sana, wewe leo kusanya Wanawake pale Diamond jubelee, mtafute Manifongo, mpe "mboga" za kutosha (zikitokea Arusha itapendeza zaidi), avurumishe singeli la nguvu hapo, utashuhudia nusu kama sio wote ya Wanawake hapo watavua nguo wakisingizia kupandwa na mzuka.

Ni hisia zao tu wanaziendekeza na kuambukizana, hata wale Watoto wa kike wa shule wanaoangukaga hovyo na kusingizia mapepo sijui, hamna lolote...huenda mwenye tatizo ni mmoja hao wengine wanajipagawisha tu.

Mtoto ukishampa mastori ya mapepo utegemee tu hayo matatizo, na ukimlea bila asijue hayo mambo wala hatosikia hizo ishu.

Hakuna cha Mchungaji, sijui nabii wala hao wanaojiita mashehe majini, ni watumia fursa tu ya ujinga wa wenzao na wao kujineemesha.
 
Ni uchawi toka west Africa! So may be Tayari nayeye ameshaupata.Mungu ayupo kama remoti ya TV. Hawa wachungaji wanataka waonekane wanamkontrol Mungu! Ayubu ata kama angeombewa na Yesu Kwa kuwa Mungu Baba alisha amua mabalaa yampate akuna anaeweza enda kinyume chake.ata Leo wapo wanaoteseka kwa mapenzi ya Mungu kwa hekima zake.so hawa fake pastors wanatakiwa kuwafundisha watu badala ya kufake na miujiza fake
 
Wala huhitaji kuandaa watu, hao Wanawake walio wengi huenda wakiwa wameshaathirika kisaikolojia, na matumaini yao mengi wameshaweka kwa huyo anayeongoza hapo, hivyo chochote watakachoamriwa watafanya tu.
 
Hakuna uchawi wowote hapo, cha muhimu ni kuwajenga Watu kisaikolojia tu waamini una uwezo fulani basi umemaliza mchezo.
 
Masanja is from Congo is illegal immigrants contribute so much to society, WHY do their own countries NOT want to take them back? Their own countries actively oppose their repatriation!
 
Dah!hizi dini hizi..... hata Yesu aliombea watu lkn hawakuanguka namna hii....Haya Mambo yao Na Wanaijeria yameleta shida sana
 
Pole mkuu ukutoka nundu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…