Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

Yani wakiiangalia Simba, wanawaona ni Vibonde, wanawamudu...!

Na hapo hawajui tu juzi kati Yanga alimpiga Mtu 5.
 
Mtoa mada hajaelewa,hapa Tanzania simba ndio inayotambulika zaidi kimataifa.
 
MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA"

Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA

Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga.

Mamelodi watakula mnara ✋

View attachment 2934099
Your browser is not able to display this video.

Eti mtani Shadeeya ya kweli hayo?

Kalpana et al njoo uone wanavyosema
Your browser is not able to display this video.
 
Waulizw wao wanawaza nini? Sisi tunaloga mchana wao wanaloga usiku au kwny vitu visivyoonekana kama kupita milango isiyoruhusiwa...
Siku zote nyani halionagi kundu lake, 🐸🐸wamakazana eti Simba ni walogaji 😂😂

Mfyuuu 🐸🐸 wote.
 
"pointi ndogo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…