Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

Yani wakiiangalia Simba, wanawaona ni Vibonde, wanawamudu...!

Na hapo hawajui tu juzi kati Yanga alimpiga Mtu 5.
 
Kwa maoni inaonekana wanasikitika kwasababu hawatapata upizani wa kutosha kwa yanga,unajua ukijua mpinzani wako ni mdhaifu sana hauwezi kuwa na furaha kwasababu hatakupa changamoto..tukbuke yanga ndio timu iliyoingia robo final kwa point ndogo sana point 8,pia ndio timu iliyoingia robo final kwa kufungwa sana..ndio maana hawa washabaiki wa MAMELODY hawana furaha kukutana na timu dhaifu
Mtoa mada hajaelewa,hapa Tanzania simba ndio inayotambulika zaidi kimataifa.
 
MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA"

Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA

Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga.

Mamelodi watakula mnara ✋

View attachment 2934099

Eti mtani Shadeeya ya kweli hayo?

Kalpana et al njoo uone wanavyosema
 
Waulizw wao wanawaza nini? Sisi tunaloga mchana wao wanaloga usiku au kwny vitu visivyoonekana kama kupita milango isiyoruhusiwa...
Siku zote nyani halionagi kundu lake, 🐸🐸wamakazana eti Simba ni walogaji 😂😂

Mfyuuu 🐸🐸 wote.
 
Kwa maoni inaonekana wanasikitika kwasababu hawatapata upizani wa kutosha kwa yanga,unajua ukijua mpinzani wako ni mdhaifu sana hauwezi kuwa na furaha kwasababu hatakupa changamoto..tukbuke yanga ndio timu iliyoingia robo final kwa point ndogo sana point 8,pia ndio timu iliyoingia robo final kwa kufungwa sana..ndio maana hawa washabaiki wa MAMELODY hawana furaha kukutana na timu dhaifu
"pointi ndogo"
 
Back
Top Bottom