Mashabiki wa Simba SC tunahitaji kujitafakari

Wewe ni Shabiki wa Yanga bila shaka
Unataka kuniambia kwamba hata zile shoots on target kwenye lango la Yanga ilikuwa ni kumkaba Mayele?

Hao Yanga mbona hawajatufunga kama sisi tupo kumkaba mayele tu?
 
Wewe ni timu lopolopo wewe sio Simba
 
Sijawahi ona simba akifurahia sare yoyote zaidi ya USGN
 
Kudrop msimu mmoja tu maneno!Misimu yote minne simba iliyokuwa bingwa imeifunga yanga mara ngapi!Mkuu kipaumbele cha simba kwa sasa si kushindana na yanga
Hebu sema hiyo misimu Simba imemfunga yanga mechi zip?
 
Kwa kauli kama hizi inaonesha tayari mlishakubali kwamba simba ni timu kubwa barani Afrika na ndiyo Maana hamuamini kwamba timu ndogo kama Yanga inaweza kuchukua ubingwa mbele ya timu kubwa kama simba.
 
Hebu sema hiyo misimu Simba imemfunga yanga mechi zip?
Kwa hiyo misimu minne matokeo mazuri ya simba dhidi ya Yanga ni kama ifuatavyo :
1. Simba 1 , Yanga 0(Kagere)
2.simba 1, Yanga (Nyoni)
3.simba 4, Yanga 1(Fraga ,chama
Miquisson, mzamiru
4. Simba 1 , Yanga 0( Lwanga)

Matokeo mazuri ya Yanga dhidi ya simba kwa hiyo misimu minne
1.yanga 1 , simba 0 (morrison)
2.yanga 1,simba 0(mauya)
3.yanga 1, simba0 (mayele)

Mechi zilizobaki walitoka sare.

Je , kwa takwimu hizo nani mbabe kwa mwenzake ktk hiyo misimu4?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…