mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
imeifunga mara mbili tuKudrop msimu mmoja tu maneno!Misimu yote minne simba iliyokuwa bingwa imeifunga yanga mara ngapi!Mkuu kipaumbele cha simba kwa sasa si kushindana na yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imeifunga mara mbili tuKudrop msimu mmoja tu maneno!Misimu yote minne simba iliyokuwa bingwa imeifunga yanga mara ngapi!Mkuu kipaumbele cha simba kwa sasa si kushindana na yanga
Wewe ni Shabiki wa Yanga bila shakaSisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike mda tukubali kua wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza kuisoma namba
Sasa hivi tunapocheza na yanga hatuna jeuri ya kuwafunga zaidi tunakaza Mayele asitufunge ndio ushindi wetu huo, msimu huu tumekutana mara tatu, mechi ya kwanza ni ngao ya jamii tukapigwa kimoja cha mkwezi then kwenye ligi ya NBC tumekutana mara mbili na games zote tumetoa sare, jambo la kushangaza sisi mashabiki wa simba hua tunafuraia haya mtokeo utadhani sisi ndio tumeshinda ndio maana mashabiki wa yanga wanatudharau sana sasa hivi.
Timu yetu ya simba imesahau lengo la timu yoyote ile inapokutana na timu nyingene ni kuakikisha inaibuka na ushindi na sio kutafuta sare au kumzuia mchezaji flani asifunge halafu tuanze kujisifu eti flani mbona hakutetema leo.
Ndio mahana tunaonekana wote ni makolo tu ifike mda viongozi, wachezaji na mashabiki tujitafakari lengo la kuanzisha timu ni kupata ushindi na kubeba makombe na sio bla bla za sijui tumefika robo fainali club bingwa Africa au shirikisho. jamani tuache ukolo, kwanza wakiambiwa makipa ambao hawajafungwa na bwana fistone kalala mayele katika timu za hapa bongo je Manula hatajitokeza?
Toa uchafu wako huko watu wanataka umaarufu kwa kuipondea simba..Akae kwaa kutulia
Kocha wenu anaiponda timu anayofundisha?Toa uchafu wako huko watu wanataka umaarufu kwa kuipondea simba..Akae kwaa kutulia
Timu yenu una hisa kiasi gani?Kwa mwandiko huu wewe sio shabiki wa Simba, tuachie timu yetu
Sijawahi ona simba akifurahia sare yoyote zaidi ya USGNSisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza kuisoma namba
Sasa hivi tunapocheza na Yanga hatuna jeuri ya kuwafunga zaidi tunakaza Mayele asitufunge ndio ushindi wetu huo, msimu huu tumekutana mara tatu, mechi ya kwanza ni ngao ya jamii tukapigwa kimoja cha mkwezi then kwenye ligi ya NBC tumekutana mara mbili na games zote tumetoa sare, jambo la kushangaza sisi mashabiki wa simba hua tunafuraia haya mtokeo utadhani sisi ndio tumeshinda ndio maana mashabiki wa yanga wanatudharau sana sasa hivi.
Timu yetu ya Simba imesahau lengo la timu yoyote ile inapokutana na timu nyingene ni kuakikisha inaibuka na ushindi na sio kutafuta sare au kumzuia mchezaji flani asifunge halafu tuanze kujisifu eti flani mbona hakutetema leo.
Ndio mahana tunaonekana wote ni makolo tu ifike muda viongozi, wachezaji na mashabiki tujitafakari lengo la kuanzisha timu ni kupata ushindi na kubeba makombe na sio bla bla za sijui tumefika robo fainali club bingwa Africa au shirikisho. jamani tuache ukolo, kwanza wakiambiwa makipa ambao hawajafungwa na bwana fistone kalala mayele katika timu za hapa bongo je Manula hatajitokeza?
5 percentTimu yenu una hisa kiasi gani?
Hebu sema hiyo misimu Simba imemfunga yanga mechi zip?Kudrop msimu mmoja tu maneno!Misimu yote minne simba iliyokuwa bingwa imeifunga yanga mara ngapi!Mkuu kipaumbele cha simba kwa sasa si kushindana na yanga
Kwa hiyo misimu minne matokeo mazuri ya simba dhidi ya Yanga ni kama ifuatavyo :Hebu sema hiyo misimu Simba imemfunga yanga mechi zip?