Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

Kwann uliandika haya?
Familia yangu haipo huko Nangurukuru ipo huku katika mikono salama usinilinganishe nawe kukaa kujadili mambo ya harmonize na kajala Au stive NYERERE na usemaji, ninaizungumzia hii vita Nina maslahi pana nayo
 
Anaflood server za jf bure tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hizo nyuklia ndio zinampa kiburi.
 
Tusidanganyane wala kudanganywa Russia 🇷🇺 sio Libya 🇱🇾. Kabla Russia haijarabishwa mchanga kama unavyotaka kutuaminisha litatokea balaa kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa Duniani. Tuombe Mungu hii vita ishee isielekee kwenye point of no return between superpowers. Hakuna anaweza kusimama na Russia ulaya kwenye fullscale war. Russia level yake ni USA au China 🇨🇳.
Mungu tulinde na hiyo siku
 
Wapuuzi hawa watoto , au ndio like kizazi cha FFFFFFF na standardisation + BRN
 
kwa akili zako uhalibifu wa mali za nchi mwenyeji ww vita ndo kushindwa vita ? au unahisi vita ingrpiganwa Urusi vitu visingeharibika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…