Hebu nukuu hayo .Putin alimpa rais wa Ukraine masaa 24 ajisalimishe, aweke silaha chini la sivyo atamuondolea mbali na kusimika utawala mpya Kiev, alichokutana nacho, amepoteza mara mia zaidi na amekunja mkia anageuza, na anafuatwa huko huko....
Ukraine wanalalamika kuna mauaji ya halaiki na mass grave huko karibu na kyivu lakini @butarica anatuambia waliouwawa wengi ni warusi.Hizo takwimu umepata wapi wakati official figure raia waliokufa 1,437 wewe unatoa 5000+ lakini pia hujatoa vyanzo vya taafifa zako ni kipi. Acheni propaganda ya vita visivyokuhusu.
badala yake Fikiria namna ya kupambana na gharama za maisha zilizopanda namna gani utasaidia familia na jamii yako.
mecheka sana!Ili habari ya CCN na BBC iwe ya kweli kwao iandike Drone ya Ukraine yadunguliwa na Askri wa Urusi", hapo meno 34 yote nje kwa KICHEKO na watajaza katika hiyo thread kama kumbikumbi😂😂.
ila ikiandika", vifaru vya Urusi vime-towed kwa KUKOSA mafuta!!!, wewe ulieleta habari utashambuliwa na chanzo chako habari.
unataka kuniambia zile picha na clip zinazosambaa jamaa zako wakiiba sufuria na washing mashine pia ni propaganda? 😂😂😂Mwanamke gani alobakwa acheni PROPAGANDA
Mnazunguruka tu ukweli mchungu Russia kamshindwa UkraineUkiachana na kuharibiwa tu DOM BAS sio tena eneo la UKRAINE haribifu lakwanza hili
Na hapa walipofikia ODESA na uwanda mzima ule wapwani unaopakana na CRIMEA hautakua tena mali ya UKRAINE
Hii OP ilikua kimkakati zaidi kuharibiwa nchi kwenye mapigano nikawaida ila kumegwa sehemu zahio nchi nakuunganishwa ama nakufanywa kua kama taifa linalojitegemea ndio tatizo
Kiufupi yanayomtokea ama yatakayomtokea UKRAINE kwenye hii OP kama yalomkuta GEORGIA mwaka 2008 baada yakumalizwa mapigano watu wakasepa na OSETIA na ABKHAZIA kama sijakosea
Huyu nae kwenye hii OP kuanza wameanza na DONESTK na LUHANSK na bado wanaendelea na ODESSA wanaendelea na KHARKIV wanaendelea na MAURIOPOL
Kiufupi UKRAINE haitakua tena kwenye ile shape yake iliokua nayo miezi miwili ama mitatu kabla ya hii OP nahii ndio main target
Swali langu hii ni special operation au ni full scale War,nauliza hivi maana Pro Russia mnajificha kwa kichaka cha USA alitumia siku ngapi kule Iraq,lkn mnasahau pale mwanzo mlisema ni project ya 72hrs only[emoji846]Bado nipo upande wa Russia...
Tupo nae huku KazanHuyo britanicca anaishi Russia anajua anachosema ni muda mrefu Sana anaishi ulaya
UKRAINE ndio kamuweza RUSSIAMnazunguruka tu ukweli mchungu Russia kamshindwa Ukraine
Hebu nukuu hayo .
La kujisalimisha ni sahihilkn lakusimika utawala ni uongo.
Nukuu
Alisema taifa lolote likiingia kutoa msaada atatoa kipigo ambacho hakijawahi kutokea katika historia.Urusi vs mataifa zaidi ya 30
Mngemuacha peke yake hata saa 72 zisingeisha.
Hata kutoa silaha pia ni kuingiliaWanaogopa kuingia officially. Aingie yeyote aone.
Iwe operation or vita haiondoi ukweli kwamba vijana wa Putin wamechukua kipigo cha mbwa mwizi mpaka wameondoka kwa aibu kubwaLabda huelewi maana ya operation ya kijeshi urusi hajaenda vitani
Urusi nia yao kuu ni kuidhoofisha kijeshi Ukraine na wamefanikiwa kwa 90% sababu kwa sasa Ukraine anategemea support ya mabwana zake wa Nato Ulaya na Marekani kumpa silaha za kupambana.Kitendo cha wanajeshi wa urusi kuishia njiani bila kimchomoa Zelesky ndio kinachodhihirisha kufeli kwa operation yao.
Mkuu chukulia mfano tu, mmezinguana mkaanza kutembezeana kichapo vijana wa std 7 na madogo wa std 4 mkono kavu kavu mnawatia displini madogo, ila kadri ugomvi unavyoendelea wanalialia kuwa wanaonewa wasaidiwe kisha machalii wengine wa std 3,2 na 1 wanaleta kokoto majambia,bisibisi, viwembe na kuwapa madogo wenzao wa std4 ila nyie still mabro mnapambana kavu kavu kiume lazma mtakuwa na majeraha mabaya licha kuwa mlianza mkiwazidi nguvu na mwisho mtaanza kuonekana mnazidiwa maana kuna ambao watatobolewa macho na kuumizwa vibaya na makundi ya 4,3,2,1 ambao wataongeza nguvu.Kitendo cha wanajeshi wa urusi kuishia njiani bila kimchomoa Zelesky ndio kinachodhihirisha kufeli kwa operation yao.
Unakiri ukraine kusaidiwa ktkt hii vita ila haukiri responce ya russia kuwa ni zero baada ya kufeli kuwashikisha adabu wanaomsaidia ukraine.Urusi nia yao kuu ni kuidhoofisha kijeshi Ukraine na wamefanikiwa kwa 90% sababu kwa sasa Ukraine anategemea support ya mabwana zake wa Nato Ulaya na Marekani kumpa silaha za kupambana.
Angekosa support kwa 100% angekuwa kamshamlamba viatu mrusi maana angekuwa kashatepeta. Russia hapigani vita in full scale ila ni operation ya kuharibu military bases za Ukraine na kumforce Zelensky aachane na mpango wake wa kujiunga na Nato.
Kama ni mkwara zamani tu majeshi ya Nato yangekuwa ukraine.Alisema taifa lolote likiingia kutoa msaada atatoa kipigo ambacho hakijawahi kutokea katika historia.
Putin na Hayati Jiwe wanafanana kwa mikwara
Kuwashikisha adabu ni direct confrontation. Hakuna ambaye anataka vita kwenye ardhi yake sio Urusi, Marekani wala Nato agents.Unakiri ukraine kusaidiwa ktkt hii vita ila haukiri responce ya russia kuwa ni zero baada ya kufeli kuwashikisha adabu wanaomsaidia ukraine.