Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

Unakiri ukraine kusaidiwa ktkt hii vita ila haukiri responce ya russia kuwa ni zero baada ya kufeli kuwashikisha adabu wanaomsaidia ukraine.
Adabu gani Sasa? Mauaji ama? Maana kama ni defense ya Ukraine Sasa hivi imechakazwa chakazwa. Urusi Kiev alikuwa ameizunguka, karudi tu nyuma Sababu ya mazungumzo.

Lengo LA Mrusi ni maslahi yake, akiyapata hayo mengine ni yenu mashabiki.
 
Swali langu hii ni special operation au ni full scale War,nauliza hivi maana Pro Russia mnajificha kwa kichaka cha USA alitumia siku ngapi kule Iraq,lkn mnasahau pale mwanzo mlisema ni project ya 72hrs only[emoji846]
Haikutakiwa kuzidi wiki kama milango ya kuingiza mamluki na silaha kinyemela toka NaTo ingefungwa.
 
Hakuna kitu kama hicho si ajabu anaishi kwa mpalange lakini anajifanya anaishi nje. Mimi naishi scandinavia nafahamu propganda zilizopo.

Wewe unachekesha sana,hutaki kuamini britanicca anaishi huko,halafu wewe unataka tukuamini kwa maneno matupu kuwa unaishi Scandinavia [emoji3][emoji3],kama huamini mwenzio aishi huko basi hata wewe unaishi Kolomije huko jirani na Bashite[emoji3]
 
Kumbe mataifa mengine yalishaingilia na Putin akaufyata? Kwa hiyo kumbe Ile kauli ya atakayeingilia naye atapigwa ulikuwa ni mkwala mbuzi tu[emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda huelewi maana ya operation ya kijeshi urusi hajaenda vitani
Balozi wa Urusi UN katika maongezi UN alikuwa anaongelea "VITA " inayoendelea Ukraine wewe uko Tz unasema ni operation. Hiyo Russia unayoiona kwenye hii vita ndio Russia yenyewe sasa, usifikiri wana cha zaidi ya hapo. Tena hapo ana usaidizi wa Belarus.
 
Kumwondoa raisi hamtaki tena ?
 
Sidhani kama Urusi hakuyajua haya kabla hajaingia Ukraine.
 
Kumwondoa raisi hamtaki tena ?
Kuna sehemu RUSSIA waliongelea kumuondoa KOMEDIAN
au kama unaniuliza mimi kama mimi kuna sehemu labda niliongelea suala la jamaa kutolewa madarakani!!?
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Netherlands :
Prime Minister Mark Rutte said: “We are facing an incredibly high inflation rate of 11%.

Prices are rising so fast that the government can't fix it."

HAHAHAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…