Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

Kuna tofauti ya Basi na Coaster
 
Kweli kiha mtelezo tu na kiswahili ule utani wa jadi tu
 
Pumba , Pumba kabisa kiaz ww.
 
Bro samahani naomba nkuulize

Ni kwanini umjibupo mtu lazima umtukane hata kama yeye hakukutukana?
Sijajua inawezekana ana shida ya akili. Binafsi huwa namshangaa sana. Alileta uzi wowote mtu akichangia kwa kutokubali kile alichoandika ni lazima amtukane. Pia sijui kwanini mods wanamuendekeza. Sijui huko mtaani ana ishi vipi na jamii maana hii ndio tabia yake halisi. Yaani anataka kile aandikacho humu tukiafiki na kukiamini hata kama sio sahihi. Hataki apigwe na mtu. Ukitoa maoni tofauti unatukanwa. Mungu amsaidie kwa kweli.
 
Kiukweli Alex wa clouds ajasema hvo kasema tatizo wenyeji wao yaani wanyarwanda kwa kiasi kikubwa wanaongea kifaransa na kinyarwanda awaongei kingereza hiyo ndio changamoto wewe umemuekea maneno yako
Wanayarwanda wengi ni wazuri sana kwa kiingereza mm mwenyewe kuna mchepuko wangu unauza nyaya tu unaongea Kiingereza safi kabisa
 

Mungu hasaidii wajinga
Jamaa anamatatizo
 
Nadhani Mungu anatakiwa aanze Kukusaidia Wewe Fool Kwanza kisha ndipo arejee Kwangu Brainiac wa Kizanaki na Kimakuwa GENTAMYCINE sawa?
 
Matusi ya nini, tunataka hoja na uzalendo wazee, yanga Simba ni watani wa jadi tu matusi sio mwake.
Mzee Rukhsa aliwahi kusema mtu huwa anatoa kile alichonacho, ukiwa una busara utatoa busara, ikiwa una hekima utatoa hekima na ukiwa una matusi basi utatoa matusi.
 
Wee kiazi matusi unayatafuta mwenyewe
Wasilisha Kwa lugha ya staha na heshima,heshima watu nao watakuheshimu

Usijipe umuhimu ambao hauna
Anza Kwanza Kumshauri Mumeo akikamilika na Kubadilika ndipo uhamie Kwangu Mimi Hawara yako sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…