GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #121
Nikuongezee au?Si umeona umenitukana hapo chini ila mi nimekusamehe mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuongezee au?Si umeona umenitukana hapo chini ila mi nimekusamehe mkuu.
Mnayatafutaga Wenyewe kwa Ujuha na Unafiki wenu Kwangu au hata kwa Wengine.Mzee Rukhsa aliwahi kusema mtu huwa anatoa kile alichonacho, ukiwa una busara utatoa busara, ikiwa una hekima utatoa hekima na ukiwa una matusi basi utatoa matusi.
Kumbe unanitambua Mimi kama hawara YakoAnza Kwanza Kumshauri Mumeo akikamilika na Kubadilika ndipo uhamie Kwangu Mimi Hawara yako sawa?
Genta...Mnayatafutaga Wenyewe kwa Ujuha na Unafiki wenu Kwangu au hata kwa Wengine.
Jifanyieni Self Evaluation ili yasiwakute mnayoyalilia na kuyalaumu sawa?
Msinichoshe katika Kuwaelimisheni kutwa juu ya hili. Mmeshajiuliza ni kwanini nyie ( wewe ) tu?
Hovyo kabisa.....!!
cha ajabu ni kipi hapo wakati hapahapa bongo waswahili tena kwa lugha adhimu ya kiswahili wajipigia tu kwa bei wanazotaka sembuse Rwanda?"Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu zilizopita.
Kwahiyo mlidhani huko Rwanda wanaongea Kiswahili chenu cha Kariakoo na mkajazana kwa Uwingi kama Magunia ya Mahindi ya MUYAMA ONE katika Mabasi yenu 30 na kwenda wakati Wenzenu wanaongea Kifaransa msichokijua kabisa na Kiingereza ambacho Kinawatesa sasa huko Ugenini Israeli ya Afrika Rwanda?
Mashabiki wa Simba SC wanakubalika na wanaheshimika nchi zote wanazoenda kwakuwa kuanzia Wachezaji, Mashabiki na Viongozi wote wanaongea vyema kabisa Lugha ya Kiingereza tofauti na Wapuuzi Waliofurika Kigali Rwanda kumbe Kiingereza kinawapa shida na sasa Madereva wa Taxi wanawapiga tu kwa Kuwatoza Gharama ya Juu kwa safari fupi fupi tu za Viunga vya Jiji la Kigali.
Kudadadeki......!!
Sawa wewe umefanya research kwa mnyarwanda Mmoja akuna aliyekataa awajui kuongea kingereza mbona hata uku kwetu watu wanaongea kingereza safi tu Hila sio kwa wingi wake .na ishu hapa ni kuikanusha hiyo taarifa lipota akusema hivo kaekewa maneno mengi tafuta hiko kipande kisikilize usikieWanayarwanda wengi ni wazuri sana kwa kiingereza mm mwenyewe kuna mchepuko wangu unauza nyaya tu unaongea Kiingereza safi kabisa