Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

Mzee Rukhsa aliwahi kusema mtu huwa anatoa kile alichonacho, ukiwa una busara utatoa busara, ikiwa una hekima utatoa hekima na ukiwa una matusi basi utatoa matusi.
Mnayatafutaga Wenyewe kwa Ujuha na Unafiki wenu Kwangu au hata kwa Wengine.

Jifanyieni Self Evaluation ili yasiwakute mnayoyalilia na kuyalaumu sawa?

Msinichoshe katika Kuwaelimisheni kutwa juu ya hili. Mmeshajiuliza ni kwanini nyie ( wewe ) tu?

Hovyo kabisa.....!!
 
Genta...
Sisi ni watu wazima, na mtu mzima hatishiwi nyau, kwa nini mnateseka na watu waliyofanikiwa? Elekezeni fikra zenu kwa Simba ambao waliyopata draw mechi ya ugenini na wanahitaji kujipanga vyema mechi ya nyumbani, si kuteseka na hoja ya mtu kuwa wanayanga lugha ya kigeni inasumbua wakati wana mtaji wa ushindi 2-0 ugenini.
Maturity is intelligence responsibility and is not only attains of puberty.

View: https://www.youtube.com/watch?v=OSs0V8HLSNQ
 
cha ajabu ni kipi hapo wakati hapahapa bongo waswahili tena kwa lugha adhimu ya kiswahili wajipigia tu kwa bei wanazotaka sembuse Rwanda?

Tena sio madereva tax tu hata maafisa usafirishaji wengine kama vile bodaboda. nadhani kiingerza sio issue kwani hata wao hawaelewi kiswahili na hakuna haja ya kuwapiga kwa tamaa ya vitu vidogo vidogo
 
Wanayarwanda wengi ni wazuri sana kwa kiingereza mm mwenyewe kuna mchepuko wangu unauza nyaya tu unaongea Kiingereza safi kabisa
Sawa wewe umefanya research kwa mnyarwanda Mmoja akuna aliyekataa awajui kuongea kingereza mbona hata uku kwetu watu wanaongea kingereza safi tu Hila sio kwa wingi wake .na ishu hapa ni kuikanusha hiyo taarifa lipota akusema hivo kaekewa maneno mengi tafuta hiko kipande kisikilize usikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…