CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Shida ni wachezaji kuachwa wazurure kama mbwa koko. Mkupuo mmoja wa shisha ni sawa na kuvuta pakti nzima ya sigara sasa mnategemea Aziz Ki abaki yule yule wa msimu uliopita? Hao pia wanachukua machangudoa hibuo lazima viuono vyao vimejaa UTI sasa kuna wachezaji tena hapo? Dirisha dogo na kubwa wahakikishe wanaondoa virusi vyote waanze upya kama Simba