Mashabiki wa Yanga wanahaha eti Shida sio wachezaji, shida ni uongozi, unamtoaje Gamondi? Wamefungwa mechi tatu mfululizo

Shida ni wachezaji kuachwa wazurure kama mbwa koko. Mkupuo mmoja wa shisha ni sawa na kuvuta pakti nzima ya sigara sasa mnategemea Aziz Ki abaki yule yule wa msimu uliopita? Hao pia wanachukua machangudoa hibuo lazima viuono vyao vimejaa UTI sasa kuna wachezaji tena hapo? Dirisha dogo na kubwa wahakikishe wanaondoa virusi vyote waanze upya kama Simba
 
Attachments

  • FB_IMG_1732642883392.jpg
    FB_IMG_1732642883392.jpg
    99.6 KB · Views: 1
  • VID-20241109-WA0006.mp4
    3.6 MB
Shida ni wachezaji kuachwa wazurure kama mbwa koko. Mkupuo mmoja wa shisha ni sawa na kuvuta pakti nzima ya sigara sasa mnategemea Aziz Ki abaki yule yule wa msimu uliopita? Hao pia wanachukua machangudoa hibuo lazima viuono vyao vimejaa UTI sasa kuna wachezaji tena hapo? Dirisha dogo na kubwa wahakikishe wanaondoa virusi vyote waanze upya kama Simba
Vijana walitoka vijijini wamezoea kunywa mtukuru/kindi halafu ghafla tu wanataka wavute moshi wenye kunukia roseberies kwa pupa!Kushnehi ghaegha!
 
Back
Top Bottom