Mashabiki Wenzangu, Yanga anahitaji ushindi wa namna yeyote Kwa Mkapa ila Asiruhusu tu yeye goli hicho ndio kikubwa zaidi,Yani Ashinde na Cleansheet

Mashabiki Wenzangu, Yanga anahitaji ushindi wa namna yeyote Kwa Mkapa ila Asiruhusu tu yeye goli hicho ndio kikubwa zaidi,Yani Ashinde na Cleansheet

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habarini wanajukwaa hili!

Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa bongo ukiwasikiliza wanakuambia Yanga anatakiwa kushinda goli Nyingi kwa Mkapa!!! This is Crazy!!!

Rejea Interview ya NABI kuelekea Match Ya kwanza kwa Mkapa dhidi ya Marumo Gallant alisema "kinachotakiwa kwa Yanga nikupata ushindi wa namna Yeyote ila wasiruhusu goli tu yani ni bora washinde 1-0 kuliko 2-1 au 3-1"

Na Mimi narejea kuwaambia kwa hii issue ya goli la ugenini hapa Afrika, Yanga anatakiwa kupata ushindi wa namna yeyote tu ila asiruhusu yeye goli na hicho ndio na NABI anawaza sio kufunga magoli Mengi kwa sababu hata Match kule Algeria Yanga anaenda kucheza so ukimlazimisha ashinde goli Nyingi saiv maana yake kule asiende kucheza kitu ambacho ni hatari maana hata kama umefunga goli 3-1 ukicheza kwa kutegea kizembe zembe ukilinda magoli ma 3 yako utapigwa tu tena unaweza pigwa Nyingi sana na ubingwa ukakosa.

Sa washabiki wenzangu wa Mpira na wa Yanga Pia tutoeni mawazo ya kumpiga Mwarabu goli Nyingi huu ni Mchezo wa Mpira wa Miguu na wao wanacheza, kwahio tuwazeni kupata ushindi na cleansheet juu haijalishi ushindi wa namna gani ila uwe ushindi tu hayo magoli mengi hua ni Team kujaaa kwenye mfumo.
#Kila la kheri The Citizens💚💛

#VISIT MWANZA🇹🇿
 
Kwa io ushindi wa 1-0 ni Bora kuliko 3-1 sio?? Akili Gani hizi?
 
This time around nabi anafanya kupiga nyoka kichwani anashinda goal zaidi ya mbili kwa Mkapa na Aljeria ni zaidi ya moja hajalishi mwarabu kapata goal kwake au kwa mkapa.
 
Kumbuka wale jamaa sio Marumo halafu fitna nyingi, kumhadaa mwamuzi ili tu kupoteza muda hilo nalo mjipange nalo.
Waarabu wanafitina nyingi zile za kusabisha mchezaji awe na hasira pia wanapumzi ya kutosha je wachezaji wetu wamejanga misuri vyakutosha? pumzi, na utulivu wa akili
 
waarabu wanafitina nyingi zile za kusabisha mchezaji awe na hasira pia wanapumzi ya kutosha je wachezaji wetu wamejanga misuri vyakutosha? pumzi, na utulivu wa akili
Lazima wajipange kwa lolote kwasababu imeshazoeleka kuwa ukikutana na muarabu vitu kama hivyo ni kawaida

Wakijipanga vyema Yanga wanaweza wakabeba ndoo kwasababu level waliyofikia wamepitiliza malengo yao. Hivyo ile pressure haipo tena na mimi naamini moja ya sababu ya kupoteza mechi ni pressure
 
waarabu wanafitina nyingi zile za kusabisha mchezaji awe na hasira pia wanapumzi ya kutosha je wachezaji wetu wamejanga misuri vyakutosha? pumzi, na utulivu wa akili
Yanga mpaka kafika hapo kaishacheza na warabu wawili ndani ya msimu mmoja na wote kaweza kuwafunga. Ngoja tuone nini kitajili dhidi ya waarabu hawa
 
Habarini wanajukwaa hili!
Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa bongo ukiwasikiliza wanakuambia Yanga anatakiwa kujaaa kwenye mfumo.
#Kila la kheri The Citizens💚💛
#VISIT MWANZA🇹🇿
Mwarabu ana roho mbaya sana anapofika stage hii.. subirini
 
Mwarabu ana roho mbaya sana anapofika stage hii.. subirini
Alifika stage hii tena Champions league dhidi ya TP Mazembe na akalala,
Na this time atalala tena.
Zile zama za kuwaogopa waarabu zilishapita asee.
 
Kumbuka wale jamaa sio Marumo halafu fitna nyingi, kumhadaa mwamuzi ili tu kupoteza muda hilo nalo mjipange nalo.
Kinachotakiwa Yanga wajitajidi wapate goli katika dakika 15 za mwanzo. Hapo itasaidia kuwatoa kwenye game plan yao waliopanga.
 
Kinachotakiwa Yanga wajitajidi wapate goli katika dakika 15 za mwanzo. Hapo itasaidia kuwatoa kwenye game plan yao waliopanga.
Na katika dakika hizo Yanga asipofikia hayo malengo basi ye ndio atayetangulia kutoka mchezoni
 
Na katika dakika hizo Yanga asipofikia hayo malengo basi ye ndio atayetangulia kutoka mchezoni
Inategemea wanaweza bakia kwenye focus ya mchezo, kikubwa wasiruhusu goli ila wakiruhusu ndio watatoka kwenye mhezo.
 
Back
Top Bottom