THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habarini wanajukwaa hili!
Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa bongo ukiwasikiliza wanakuambia Yanga anatakiwa kushinda goli Nyingi kwa Mkapa!!! This is Crazy!!!
Rejea Interview ya NABI kuelekea Match Ya kwanza kwa Mkapa dhidi ya Marumo Gallant alisema "kinachotakiwa kwa Yanga nikupata ushindi wa namna Yeyote ila wasiruhusu goli tu yani ni bora washinde 1-0 kuliko 2-1 au 3-1"
Na Mimi narejea kuwaambia kwa hii issue ya goli la ugenini hapa Afrika, Yanga anatakiwa kupata ushindi wa namna yeyote tu ila asiruhusu yeye goli na hicho ndio na NABI anawaza sio kufunga magoli Mengi kwa sababu hata Match kule Algeria Yanga anaenda kucheza so ukimlazimisha ashinde goli Nyingi saiv maana yake kule asiende kucheza kitu ambacho ni hatari maana hata kama umefunga goli 3-1 ukicheza kwa kutegea kizembe zembe ukilinda magoli ma 3 yako utapigwa tu tena unaweza pigwa Nyingi sana na ubingwa ukakosa.
Sa washabiki wenzangu wa Mpira na wa Yanga Pia tutoeni mawazo ya kumpiga Mwarabu goli Nyingi huu ni Mchezo wa Mpira wa Miguu na wao wanacheza, kwahio tuwazeni kupata ushindi na cleansheet juu haijalishi ushindi wa namna gani ila uwe ushindi tu hayo magoli mengi hua ni Team kujaaa kwenye mfumo.
#Kila la kheri The Citizens💚💛
#VISIT MWANZA🇹🇿