Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ngoja tuone itavyokuwa ila advantage ya nyumbani ni muhimu sana kwa mechi zetu za AfricaInategemea wanaweza bakia kwenye focus ya mchezo, kikubwa wasiruhusu goli ila wakiruhusu ndio watatoka kwenye mhezo.