Mashabiki Wenzangu, Yanga anahitaji ushindi wa namna yeyote Kwa Mkapa ila Asiruhusu tu yeye goli hicho ndio kikubwa zaidi,Yani Ashinde na Cleansheet

Mashabiki Wenzangu, Yanga anahitaji ushindi wa namna yeyote Kwa Mkapa ila Asiruhusu tu yeye goli hicho ndio kikubwa zaidi,Yani Ashinde na Cleansheet

Inategemea wanaweza bakia kwenye focus ya mchezo, kikubwa wasiruhusu goli ila wakiruhusu ndio watatoka kwenye mhezo.
Ngoja tuone itavyokuwa ila advantage ya nyumbani ni muhimu sana kwa mechi zetu za Africa
 
wapambane na hali zao.mimi ntatoa mchango wa kusafirisha msiba kutoka algeria.
 
This time around nabi anafanya kupiga nyoka kichwani anashinda goal zaidi ya mbili kwa Mkapa na Aljeria ni zaidi ya moja hajalishi mwarabu kapata goal kwake au kwa mkapa.
Ongezaaaaa sautiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa msimu huu yanga imecheza MICHEZO miwili Mikubwa.

Simba na........ 2-0
Usm Algers... 2-1

Sasa nimeanza KUAMINI kuwa Simba ni timu kubwa zaidi Tanzania. Kwa miaka mi tatu inacheza na
ALHALY.
Raja.
Widad.
KAIZERCHEEF.
Orando pirates.
Berkane nk.

Hawa ni MABINGWA WAKUBWA.. Simba imecheza nao sio UNACHEZA na zalan, bamako na marumo unajisifu mkubwa, MATUSI, kelele, nk

YANGA SHUGHULI YETU IMEISHIA HAPO.
 
Back
Top Bottom