Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Wametengeneza safari park hapo Dubai inafanya a copy na Serengeti hadi udongo na vegetation Serengeti kabisa, tafuta Google utaiona
Wazungu huwa wanafuata kitu natural huwa hawapendi vitu artificial kama sisi !! Wanataka wawaone wanyama kwenye asili zao sio kwenye asili fake za kubumba bumba ili mradi machoni panapendeza!! Wazungu hawapo hivyo !!
 
sasa inabeba nini, tuambieni basi, msipotuambia kile tutakachokiwaza kitakuwa sahihi, ama la si mtengue kauli kwa kutoa ufafanuzi?

Umeulizwa swali unajibu kwa swali?
Si umeanza kwa kudai inabeba wanyama, umejihakijishiaje? Unajuaje ? Ni ni hofu yako kichwani ukaja na assumption ambazo huzifahamu?
 
Huu uzi niliusoma mara ya kwanza ulikuwa na picha, nikaichunguza picha nikawa na cha kuongea but sikuongea.

Sasa narudi kuongea, picha haipo. Nilichotaka kuongea picha haina uhalisia ila ni kweli kmmk hawa washenzi wanatupiga.
 
Kuna kaka za dada mkubwa wapo Oman na ni wafanyabiashara mahiri basi tuombe Mungu atunusuru na wanyama wetu kuuzwa kama vitunguu huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…