Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Ila imepaki KiaHapo sio KIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila imepaki KiaHapo sio KIA
Wazungu huwa wanafuata kitu natural huwa hawapendi vitu artificial kama sisi !! Wanataka wawaone wanyama kwenye asili zao sio kwenye asili fake za kubumba bumba ili mradi machoni panapendeza!! Wazungu hawapo hivyo !!Wametengeneza safari park hapo Dubai inafanya a copy na Serengeti hadi udongo na vegetation Serengeti kabisa, tafuta Google utaiona
Na kuna watu wamemuunga mkono bila kuwa na uhakika wa habari iliyoleta.Unauhakikq gani inabeba wanyama pori?
Akikunjwa kisha inapigwa selotepu ile shingo mpaka Dubai 😂😂😂. Au ataenda kichwa kiko nje 😂😂Simpati picha twiga atakavyokunjwa Ile shingo.
sasa inabeba nini, tuambieni basi, msipotuambia kile tutakachokiwaza kitakuwa sahihi, ama la si mtengue kauli kwa kutoa ufafanuzi?
Una uhakika gani haibebi?
huenda ametumia experience ya yaliyopita
Utakua mnyiramba,wanyiramba matusi mengi na utovu wa adabu,Sasa singidani na kindai yanazidi MITA 300 upana!?..Mita 300 labda Ni matracko yako unayanadi hapa,, me sio mnyaturu
Ha ha ha! Noma sana .Akikunjwa kisha inapigwa selotepu ile shingo mpaka Dubai 😂😂😂. Au ataenda kichwa kiko nje 😂😂
Bi mkubwa ameamua kuifungua nchi kivingine
Kuna kaka za dada mkubwa wapo Oman na ni wafanyabiashara mahiri basi tuombe Mungu atunusuru na wanyama wetu kuuzwa kama vitunguu huko!kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Ndege ya kampuni gani, maelezo kama vile hakuna
Kwani leo tarehe ngapi, ndege mbona kwa mujibu wa mpekuzi ni kwamba ipo