Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mtu akitembea na mkeo kwani anaondoka nayo? Si anapita tu na kujuachia we uendelee nayo sasa kwani we unaathirika nini?
sheiza hiyo sio fikosofia sahihi ya wagosi.
Eti haondoki nayo, si anaikojolea.
 
Tujadili nini sasa, mbuzi kwy gunia?

Tujadili wanyama hai?, Tanzanite?, mauwa?, wafanyakazi wa ndani?, makinikia?

Mlinzi wa.mipaka ya nchi ni nani? TRA au SUMA JKT?

Kama wanakamata ndege zetu na sisi pia tungejifidia na hiyo.
 
Tatizo jingine la watanzania ni hili hapa.........watu wanakurupuka tu ili mradi tu wawe na chuki na mtu. Kwa vile wana chuki na mama samia, basi hoja inadandiwa tu bila kushirikisha milango ya fahamu. Kwa hali hii, kutoboa sijui!!
 
Ongezea na hii!

Huko Al-Ain ilikoenda kutua hiyo ndege kuna Zoo ya Wanyama! Pia ni mji wa nne kwa ukubwa
 
Do you know economically impacts in tourism sector?
 
Kwa ile nguvu kubwa iliyotumika na serikali kuwahamisha wakazi kwa sababu ya kumpa mwarabu uwanja mpana wa kuvuna asali ya nchi, sitashangaa kwa jambo hilo kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…