kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Shida ndege vijana wa tz awataki ndege kubwaShida ni ndege kupakia? Ama hio barua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ndege vijana wa tz awataki ndege kubwaShida ni ndege kupakia? Ama hio barua
sheiza hiyo sio fikosofia sahihi ya wagosi.Mtu akitembea na mkeo kwani anaondoka nayo? Si anapita tu na kujuachia we uendelee nayo sasa kwani we unaathirika nini?
Kama ndege inakuja kubeba mzigo basi ni jambo zuri. Export imeongezekaShida ndege vijana wa tz awataki ndege kubwa
Tujadili nini sasa, mbuzi kwy gunia?Happy Holidays.
Tarehe 21 mwezi huu kuna dege moja kubwa sana (pichani) lilitua pale KIA na taarifa tulizopata tukaambiwa ilikuja ikashusha mizigo baadaye ikaondoka.
View attachment 2459076
Ndege hii ni maalumu kwa kubeba mizigo mbalimbali yoyote ile, inasemekana kuwa sinmara ya kwanza kuja hapa nchini ila kutokana na taarifa zinazosemwa za uongo ndiyo imepelekea kuleta mshtuko kwa raia wengi.
Kuna kampuni pale KIA inaitwa KADCO ambayo inaonekana ndiyo ilitoa huduma za kutoa huduma zote kuhusiana na ndege hiyo, mkurugenzi wake kaandika barua kujinasua kwa lolote japo kutokana na (barua hii chini) kachemka kwa kusahau dunia ipo kiganjani.
View attachment 2459087
Aliposema "...ndege iliendelea na safari yake kwenda nchi nyingine..."
Wananchi tofauti wamefanya research na kuifuatilia hiyo ndege na kupata data sahihi kuwa, ndege ilipokuja ilipakia mizigo kama si kushusha kisha iliondoka direct to Abu Dhabi, angalia hapo [emoji1484]
View attachment 2459092View attachment 2459093
Kinachoumiza akili na kuwachefua raia ni baadhi ya watendaji kutumia lugha ulagai kwa wenye nchi (japo hawawezi kufanya lolote)
WHY Inatumika nguvu kubwa kupotosha ukweli ambao upo uwani mwa kila mtu?.
Je kama kuna upolaji wa mali za wananchi nani anaweza kutumia nafasi, nguvu nk kuokoa hilo?.
View attachment 2459096
Karibuni kwa mjadara.
R.i.P JohnNchi Inakwisha
👇Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
![]()
Ongezea na hii!Happy Holidays.
Tarehe 21 mwezi huu kuna dege moja kubwa sana (pichani) lilitua pale KIA na taarifa tulizopata tukaambiwa ilikuja ikashusha mizigo baadaye ikaondoka.
View attachment 2459076
Ndege hii ni maalumu kwa kubeba mizigo mbalimbali yoyote ile, inasemekana kuwa sinmara ya kwanza kuja hapa nchini ila kutokana na taarifa zinazosemwa za uongo ndiyo imepelekea kuleta mshtuko kwa raia wengi.
Kuna kampuni pale KIA inaitwa KADCO ambayo inaonekana ndiyo ilitoa huduma za kutoa huduma zote kuhusiana na ndege hiyo, mkurugenzi wake kaandika barua kujinasua kwa lolote japo kutokana na (barua hii chini) kachemka kwa kusahau dunia ipo kiganjani.
View attachment 2459087
Aliposema "...ndege iliendelea na safari yake kwenda nchi nyingine..."
Wananchi tofauti wamefanya research na kuifuatilia hiyo ndege na kupata data sahihi kuwa, ndege ilipokuja ilipakia mizigo kama si kushusha kisha iliondoka direct to Abu Dhabi, angalia hapo 👇🏾
View attachment 2459092View attachment 2459093
Kinachoumiza akili na kuwachefua raia ni baadhi ya watendaji kutumia lugha ulagai kwa wenye nchi (japo hawawezi kufanya lolote)
WHY Inatumika nguvu kubwa kupotosha ukweli ambao upo uwani mwa kila mtu?.
Je kama kuna upolaji wa mali za wananchi nani anaweza kutumia nafasi, nguvu nk kuokoa hilo?.
View attachment 2459096
Karibuni kwa mjadara.
🤣🤣🤣Mkuu tunaathirika vibaya mnoo. Sababu ni kuwa hizo hela haziendi kununua dawa wala kuboresha elimu, bali zinaenda tumboni kwenu huku mkiwaacha wananchi wanazidi kuumia.
Do you know economically impacts in tourism sector?kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Kwa ile nguvu kubwa iliyotumika na serikali kuwahamisha wakazi kwa sababu ya kumpa mwarabu uwanja mpana wa kuvuna asali ya nchi, sitashangaa kwa jambo hilo kutokeaHappy Holidays.
Tarehe 21 mwezi huu kuna dege moja kubwa sana (pichani) lilitua pale KIA na taarifa tulizopata tukaambiwa ilikuja ikashusha mizigo baadaye ikaondoka.
View attachment 2459076
Ndege hii ni maalumu kwa kubeba mizigo mbalimbali yoyote ile, inasemekana kuwa sinmara ya kwanza kuja hapa nchini ila kutokana na taarifa zinazosemwa za uongo ndiyo imepelekea kuleta mshtuko kwa raia wengi.
Kuna kampuni pale KIA inaitwa KADCO ambayo inaonekana ndiyo ilitoa huduma za kutoa huduma zote kuhusiana na ndege hiyo, mkurugenzi wake kaandika barua kujinasua kwa lolote japo kutokana na (barua hii chini) kachemka kwa kusahau dunia ipo kiganjani.
View attachment 2459087
Aliposema "...ndege iliendelea na safari yake kwenda nchi nyingine..."
Wananchi tofauti wamefanya research na kuifuatilia hiyo ndege na kupata data sahihi kuwa, ndege ilipokuja ilipakia mizigo kama si kushusha kisha iliondoka direct to Abu Dhabi, angalia hapo 👇🏾
View attachment 2459092View attachment 2459093
Kinachoumiza akili na kuwachefua raia ni baadhi ya watendaji kutumia lugha ulagai kwa wenye nchi (japo hawawezi kufanya lolote)
WHY Inatumika nguvu kubwa kupotosha ukweli ambao upo uwani mwa kila mtu?.
Je kama kuna upolaji wa mali za wananchi nani anaweza kutumia nafasi, nguvu nk kuokoa hilo?.
View attachment 2459096
Karibuni kwa mjadara.
Kuna mambo mengi yamekupita na yanakupita, wait to complain not for joy!.Shida ni ndege kupakia? Ama hio barua