🤣🤣 Nchi ngumu sanaEEEeeenHeeeee!
Wewe bado umeganda tu kwa hayo ya wanyama, na kusahau makubwa zaidi?
Mnapoweka kiongozi asiyekuwa na uchungu wowote na nchi anayoiongoza na hali ya maisha ya wananchi wake, unategemea ni kitu gani kitatokea?
Vuta subira kidogo, utayaona mengi yakifunuliwa muda siyo mrefu kabla ya 2025.
Yatapakwa sukari juu juu, na watu wataramba kwa furaha bila ya kujua wanauzwa!
Umeweka picha ya dege kubwa pili picha ya Rais Samia akiwa na mwwnyeji wake kwenye moja ya nchi za ghuba.Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.
Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu ananambie ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni ilikualiana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenye huko.
Na mwezi hii limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai.
Haijilikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka. Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni.
Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094
Kaa hapo hapo. Huu Uzi utakuwa na kitu. Bado tunafuatilia zaidim ndio maana tukaanza na tetesiUmeweka picha ya dege kubwa pili picha ya Rais Samia akiwa na mwwnyeji wake kwenye moja ya nchi za ghuba.
Unaongelea wanyama kupandishwa kwenye ndege kwa njia ya kuwaiba lakini hujaweka picha ya wanyama wakiwa wanapakiliwa. Na wasomaji wanapata taharuki na kulaani wizi wa wanyama wetu.
Binafsi siwezi kulaani wizi wa wanyama mpaka nione picha wakiwa wanapakiliwa kwenye ndege.
Awafurahishe mara ngapi? Wee huoni vilainishi xaiv beii chee, na vinapatikana holelaa tyuuh? Poleeeeeh sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safari ijayo ataenda israel hili awafurahishe LGBTQ
Ondoka hapo mwananguAisee
Bado kuna mikataba 15 iliyosainiwa huko China.Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.
Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.
Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)
Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.
Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Du huku Nako. Hatari sana.Ulitegemea nini baada ya kua na raisi alieumbwa kuzaa na kulea eti ndio awe kiongozi mkuu. Mungu hakuwahi kuchagua kiongozi yeyote mwanamke manabii, mitume, makuhani, wafalme, waamuzi wote wanaume. Sasa ujuaji wa kujifanya tunamzidi Mungu maarifa itatukosti pakubwa.
View attachment 2461110
Mama yenu kaenda Dubai picha yake kuwekwa Buj Khalifa mama akaamua agawe Ngorongoro. Hivi imagine akitongozwa huko na lijamaa si anatuuza mchana mchana, au akisifiwa tu ana jicho zuri atagawa wanyama pori wote.
Mtakula jeuri yenu, mtavuna matokeo ya ulimbukeni wa "haki sawa" mama yenu hata kusimamia rasilimali hawezi utamsikia "hilo nalo kalitizameni" wajanja wanapiga hela ya uma kama hawana akili timamu.
Kama mahotel ya hapa nchini wanapata kibali na kuwa na wanyama pori, huko ughaibuni siwezi hata kushangaa kuhusu twiga, mbuni, korongo nk kusafirishwa.Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.
Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.
Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)
Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.
Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Hiv kumsafirisha twiga inabidi afungwe fungwe na kulazwa chini etiHapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.
Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.
Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)
Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.
Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.
Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.
Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)
Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.
Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Tupe picha za twiga, ngamia nk waliosafirishwa kutoka huko walikotoka hadi hotel ya aya sophia kigamboni na sehemu nyinginezoFake News!
Tanzania bado hatujabadilika kwa kupenda Ubuyu na story zisizokuwa na kichwa wala miguu! Ni mnyama gani anayeweza kusafirishwa kutoka katika pori hadi Uwanja wa ndege KIA uliopo karibu na makazi ya watu bila kupigwa picha?
Tunapoona tuna uwezo wa kupokea ndege kubwa za mizigo tuone kuwa tunavutia na ndege za mizigo kutua kwenye ardhi yetu tumeboresha kwenye Anga pamoja na bandari.
Ushatoa tuhuma zako ili kueneza chuki Kisha nabii wa chuki umekaa pembeni kuangalia ulichopanda kinaendaje,hao wanyama wataonekana wakiwa wanapandishwa,ulete picha Kama ulivyoleta leoHapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.