Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

EEEeeenHeeeee!

Wewe bado umeganda tu kwa hayo ya wanyama, na kusahau makubwa zaidi?

Mnapoweka kiongozi asiyekuwa na uchungu wowote na nchi anayoiongoza na hali ya maisha ya wananchi wake, unategemea ni kitu gani kitatokea?

Vuta subira kidogo, utayaona mengi yakifunuliwa muda siyo mrefu kabla ya 2025.

Yatapakwa sukari juu juu, na watu wataramba kwa furaha bila ya kujua wanauzwa!
🤣🤣 Nchi ngumu sana
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu ananambie ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni ilikualiana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenye huko.

Na mwezi hii limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai.

Haijilikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka. Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni.

Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094
Umeweka picha ya dege kubwa pili picha ya Rais Samia akiwa na mwwnyeji wake kwenye moja ya nchi za ghuba.

Unaongelea wanyama kupandishwa kwenye ndege kwa njia ya kuwaiba lakini hujaweka picha ya wanyama wakiwa wanapakiliwa. Na wasomaji wanapata taharuki na kulaani wizi wa wanyama wetu.

Binafsi siwezi kulaani wizi wa wanyama mpaka nione picha wakiwa wanapakiliwa kwenye ndege.
 
Kaa hapo hapo. Huu Uzi utakuwa na kitu. Bado tunafuatilia zaidim ndio maana tukaanza na tetesi
 
Ukiweza kuishi tanzania umefaulu kuishi kokote duniani hata mars utaweza ishi peke yako bila hata mpenzi maana hakuna kitakacho kuumiza tumesha kufa ganzi
JamiiForums1688563994.jpg
 
Wataalam wa body language mnaichambuaje hii picha? Mi naichambua kama kibaka kaiba sim anaiuza fastafasta asubuhi ya x mass, apate Hela ya kujiachia kiwanja. Nadhani hata Baraba( mwizi aliyesulubishwa pamoja na Yesu) hakusimama hivi mbele ya pilato. Teh teh
downloadfile(5).jpg
 
Ulitegemea nini baada ya kua na raisi alieumbwa kuzaa na kulea eti ndio awe kiongozi mkuu. Mungu hakuwahi kuchagua kiongozi yeyote mwanamke manabii, mitume, makuhani, wafalme, waamuzi wote wanaume. Sasa ujuaji wa kujifanya tunamzidi Mungu maarifa itatukosti pakubwa.

Screenshot_20220612-124436_Chrome.jpg
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.

Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)

Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.

Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Bado kuna mikataba 15 iliyosainiwa huko China.
Tutakuwa Ana wachina wakiuza hadi kuku Kariakoo.
 
Ulitegemea nini baada ya kua na raisi alieumbwa kuzaa na kulea eti ndio awe kiongozi mkuu. Mungu hakuwahi kuchagua kiongozi yeyote mwanamke manabii, mitume, makuhani, wafalme, waamuzi wote wanaume. Sasa ujuaji wa kujifanya tunamzidi Mungu maarifa itatukosti pakubwa.

View attachment 2461110

Mama yenu kaenda Dubai picha yake kuwekwa Buj Khalifa mama akaamua agawe Ngorongoro. Hivi imagine akitongozwa huko na lijamaa si anatuuza mchana mchana, au akisifiwa tu ana jicho zuri atagawa wanyama pori wote.

Mtakula jeuri yenu, mtavuna matokeo ya ulimbukeni wa "haki sawa" mama yenu hata kusimamia rasilimali hawezi utamsikia "hilo nalo kalitizameni" wajanja wanapiga hela ya uma kama hawana akili timamu.
Du huku Nako. Hatari sana.
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.

Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)

Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.

Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Kama mahotel ya hapa nchini wanapata kibali na kuwa na wanyama pori, huko ughaibuni siwezi hata kushangaa kuhusu twiga, mbuni, korongo nk kusafirishwa.

Kila mtz angegawiwa twiga wake akaanzisha kambuga kake. Hizi mambo za kusafirishwa kwa rasilimali hizi zinatupa pressure buree.

Hivi nani anajua historia ya mbuzi, ng'ombe, kuku nk kuanza kufugwa na binadamu? Huenda nao walikuwa wanyama pori
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.

Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)

Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.

Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Hiv kumsafirisha twiga inabidi afungwe fungwe na kulazwa chini eti
 
Kama hayo ni kweli Bas,the state wanatukosea SANA!!

Kulikuwa hakuna haja ya kumpa Muda! operation ingeendelea tu!!!
 
Katiba ibadilishwe. Iwe ni marufuku kwa mtz yyte chombo au mamlaka kutoa wanyama kwenda nje ya nchi.
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.

Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)

Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.

Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096

Fake News!

Tanzania bado hatujabadilika kwa kupenda Ubuyu na story zisizokuwa na kichwa wala miguu! Ni mnyama gani anayeweza kusafirishwa kutoka katika pori hadi Uwanja wa ndege KIA uliopo karibu na makazi ya watu bila kupigwa picha?

Tunapoona tuna uwezo wa kupokea ndege kubwa za mizigo tuone kuwa tunavutia na ndege za mizigo kutua kwenye ardhi yetu tumeboresha kwenye Anga pamoja na bandari.
 
Tupe picha za twiga, ngamia nk waliosafirishwa kutoka huko walikotoka hadi hotel ya aya sophia kigamboni na sehemu nyinginezo

Tatizo la chawa buana, siku mama yenu akisema ni kweli wamesafirishwa mnabaki kujiuma uma kama ilivyokuwa kwenye mabehewa used!
 
Nimepata habar za ndani kabisa kua hao waarabu wakija hapo aisee hela inayomwagwa sio ya kitoto yaani hamna cha mzungu wala nani hao jamaa ni nouma
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.

Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)

Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.

Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Ushatoa tuhuma zako ili kueneza chuki Kisha nabii wa chuki umekaa pembeni kuangalia ulichopanda kinaendaje,hao wanyama wataonekana wakiwa wanapandishwa,ulete picha Kama ulivyoleta leo
 
Back
Top Bottom