Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Nyerere angekuwa na akili hizi za tope usingekuta kitu
 
Waarabu sijui huwa na agenda gani nasikia walianzishaga mbuga huko uarabuni ili watalii wasifike huku, shughuli zote ziishie bara Arab,
SIFIKIRI KAMA TAIFA LETU MAKINI LINAWEZA KUFANYA UJINGA HUO.
watashindwa tu. kwahiyo kwa akili yako, yule tembo au twiga, aishi uarabuni kwa wingi, namna anavyokula majani mengi kiasikile, si watakufa tu? kule wanaishi ngamia, hata wale waliowaweka kwenye zoo uarabuni wanawapa shida tu na sio wanyama wanaoishi asili kwasababu kule ni jangwa.

Bado mzungu atataka kuja afrika kwenye savanah climate kuona mnyama anayeishi kwa asili sio kwa kufugwa.
 
Mkuu hapo unakosea sana, hawa wanyama, huu ndio urithi wetu, hatupaswi kuruhusu mtu yeyote kuupata..., tizama Microsoft wanatuuzi millions of millions za Computer kila mwaka lkn mpaka leo tunalazimika kununu programs zao (operating systems-win. 7,8 10,11 or later)... hebu jamani tujifunze nasi kulinda vyetu, huu ujinga utatutoka lini?, mfano tukiwauzia Twiga mmoja, kila akizaa watulipe kwa nini tunawapa bure tu.. mbona tukinunua bidhaa zao bado haki ya biashara wanaimiliki wao?? kuwepo idadi kubwa ya wanyama si sababu.. jamani huu ujinga utatutoka lini??....

Tunawauzia madini ya kila aina wanaondoka JUMLA hatuwaoni..wao wakituuzia simu za makononi hata Display au battery, wanatuuzia wao jamani huu UJING NA UPUMBAVU NA USHENZI utatutoka lini waafrika?!! kwa upuuzi huu, basi Sofiane Boufal alikuwa sahihi kabisa aisee... SHENJI yake...
 
wale wanaoliwa na simba na chui huwa sio urithi wenu? wanyama hawapo Tanzania tu, kule south africa kuna watu wanamiliki mbuga kabisa, mfano Kruger ni mbuga kama serengeti hivi inamilikiwa na familia ya mtu. zimbabwe kuna wanyama, botswana, zambia, kenya, uganda etc, savanah yote kuna wanyama. sehemu pekee unayotakiwa kuogopa kwamba wanyama wakienda watasavaivu ni baadhi ya maeneo ya Australia kule ambako kuna savanah climate achana na yale yenye jangwa.

najaribu kuongea hivi ili kujiburudisha nisiumie moyo kwasababu nisononeke au nisisononeke watabeba tu wanyama. kwani wale waliofika uarabuni wamefikaje? maisha ni mafupi utakufa utawaacha hao wanyama, we furahia maisha, mtu akikuumiza moyo potezea angalia namna unavyoweza kuwaza ufurahishe nafsi maisha yako yaendelee hasa kama hauna uwezo wowote kuzuia au kuwafanya kitu hao wenye mamlaka.
 
Wanafanya dhambi hawa mungu hakuwa mjinga kuwagawa hawa wanyama duniani kwa aina zake na ustahimilivu wao kulingana na eneo. Haina tofauti na matendo ya lesbian,au kufanya jambo kinyume na uasili wake.
 
Kwa akili hii...basi niseme, kwa nini tunaukataa ushoga ili hali MTAJI uanbaki nao....
 
Kwa akili hii...basi niseme, kwa nini tunaukataa ushoga ili hali MTAJI uanbaki nao....
 
sasa ushoga unaingiaje hapo, au wewe ni shoga umeshaanza kuwashwa? hapa tunaongelea wanyama wewe umejaa ushoga moyoni. mwogope Mungu.
Kama unaukataa urithi wako Mungu aliokupa, unashindwa kuulinda, unahonga Wazungu... hili la ushoga mbona linakutisha BABA...
 
Waarabu sijui huwa na agenda gani nasikia walianzishaga mbuga huko uarabuni ili watalii wasifike huku, shughuli zote ziishie bara Arab,
SIFIKIRI KAMA TAIFA LETU MAKINI LINAWEZA KUFANYA UJINGA HUO.
Katika nchi ambayo watu wanaowaza maendeleo sio kuwa na asset nyingi kama rasilimali na miundombinu bali wanawaza maendeleo ni ya watu kumiliki hela mfukoni hilo sio la kushangaa. Acheni wauze wajaze mifuko yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…