Mkuu hapo unakosea sana, hawa wanyama, huu ndio urithi wetu, hatupaswi kuruhusu mtu yeyote kuupata..., tizama Microsoft wanatuuzi millions of millions za Computer kila mwaka lkn mpaka leo tunalazimika kununu programs zao (operating systems-win. 7,8 10,11 or later)... hebu jamani tujifunze nasi kulinda vyetu, huu ujinga utatutoka lini?, mfano tukiwauzia Twiga mmoja, kila akizaa watulipe kwa nini tunawapa bure tu.. mbona tukinunua bidhaa zao bado haki ya biashara wanaimiliki wao?? kuwepo idadi kubwa ya wanyama si sababu.. jamani huu ujinga utatutoka lini??.... tunawauzia madini ya kila aina wanaondoka JUMLA hatuwaoni..wao wakituuzia simu za makononi hata Display au battery, wanatuuzia wao jamani huu UJING NA UPUMBAVU NA USHENZI utatutoka lini waafrika?!! kwa upuuzi huu, basi Sofiane Boufal alikuwa sahihi kabisa aisee... SHENJI yake...