Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Iambieni Serikali wawaletee maji ya bomba kwenye nyumba zenu. Kuchota maji kwa ndoo na mitungi mtoni karne ya 21 ni kituko na aibu kubwa sana.
Binadamu tumezidi pia...
Kuna mahitaji yanaongezeka.. Kama matumizi ya maji... Viboko kama wangekuwa na ustaarabu, unaenda mtoni kuchota maji na kurudi salama hapo kusingekuwa na tatizo..

Tatizo kiboko anakupasua anakuacha hapo hapo
 
Juzi ijumaa, na drive tokea dodoma karibu na mbuga ya Manyala nilipishana na lori kubwa sana limebeba Twiga kadhaa kueleke Arusha nikahisi wanaenda ktk zile hifadhi za mjini kule mnapopiga nao picha.
Ndio tabu ya kuishi kwa hisia.Utabaki hivyo hivyo kuwa wa hisia.Na ulivyo mtu wa hisia ukashindwa hata kupiga picha?Au ulihisi simu haina chaji?
Ulikuwa unatokea Dodoma kuelekea wapi hata ukapishana na lori linaloelekea Arusha?.
 
kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Ndugu yangu usilolijua ni sawa usiku wa giza!! Simba ni simba tu!! Hata ukimuona ndani ya asali au amefugwa ukishamuona ile ladha yake inaisha tu!! Yann kulipa maelifu ya dola na naweza kumuona kwa bei rahisi tu kwenye Zoo?
 
Back
Top Bottom