antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Dubai Safari Park..Wametengeneza safari park hapo Dubai inafanya a copy na Serengeti hadi udongo na vegetation Serengeti kabisa, tafuta Google utaiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dubai Safari Park..Wametengeneza safari park hapo Dubai inafanya a copy na Serengeti hadi udongo na vegetation Serengeti kabisa, tafuta Google utaiona
kia panajulikana, kama si maua ni wanyamaUnauhakikq gani inabeba wanyama pori?
Binadamu tumezidi pia...
Kuna mahitaji yanaongezeka.. Kama matumizi ya maji... Viboko kama wangekuwa na ustaarabu, unaenda mtoni kuchota maji na kurudi salama hapo kusingekuwa na tatizo..
Tatizo kiboko anakupasua anakuacha hapo hapo
Ndio tabu ya kuishi kwa hisia.Utabaki hivyo hivyo kuwa wa hisia.Na ulivyo mtu wa hisia ukashindwa hata kupiga picha?Au ulihisi simu haina chaji?Juzi ijumaa, na drive tokea dodoma karibu na mbuga ya Manyala nilipishana na lori kubwa sana limebeba Twiga kadhaa kueleke Arusha nikahisi wanaenda ktk zile hifadhi za mjini kule mnapopiga nao picha.
Nakazia, NGOZI NYEUSI INA LAANA.Ngozi nyeusi tumelaniwa.
Ndugu yangu usilolijua ni sawa usiku wa giza!! Simba ni simba tu!! Hata ukimuona ndani ya asali au amefugwa ukishamuona ile ladha yake inaisha tu!! Yann kulipa maelifu ya dola na naweza kumuona kwa bei rahisi tu kwenye Zoo?kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Ni lazima liwe refu mkuu kwa kimo.Hili dege ninkubwa... yaani hapo kwenye picha inaonekana kama ya kawaida... nimeiona kwa macho ni kama liumba la gorofa...
Imerudia tena tripu ya piliWataanza na mali asili mwisho watatubeba sisi.
Imerudia tena tripu ya pili!, naskia itakuja tripu tano kama gari la mchangaWe dance before the tune, mbona tutaipata.
Rasilimali kwa ajili ya feature ya watoto wenu ba wajukuu zi aporwa nyie mko bise na utani? Ficheni ujinga wenuLimeleta maji ya kujaza bwawa la nyerere
Nyerere oye, rufiji oye, ndege zetu oye
Rasilimali kwa ajili ya feature ya watoto wenu ba wajukuu zinaporwa wewe uko busyna utani? Ficheni ujinga wakoImekuja kubeba wafuasi wa ccm kuwapeleka bwawa la nyerere
Ficha ujinga wako,Kuna namna wamekuja kuchukua Chao baada ya madeni yetu kuivaa
Una ujinga mwingi sana, hii nchi ina wajinga sijui kama kuna nchi inatufikia kwa kuwa na raia wajinga types yakoLabda lilibeba matauro ya watalii
Mkuu nchi ina raia wajinga haitakaaa itokee kwa nchi nyingineKwenye keyboard watanzania mnatia huruma sana.
ila Action ndio hamna.
Na wataendelea kuwala, na uzuri wazuri hawafi
Mnaweza mizaha mingi saba kwenye mambo nyeti na muhimu sana? Kuna baadhi ya post hazihitaji mizaha na utani utaniWataanza na mali asili mwisho watatubeba sisi.
HakikaMkuu nchi ina raia wajinga haitakaaa itokee kwa nchi nyingine