Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Wafisadi, wauza madawa ya kulevya, walioghushi vyeti na majangili hawataki kusikia mema ya Magufuli kabisa. Sijui wanataka tuwe na taifa ovu kiasi gani!!!
 
Ni hivi ukisema Hayati JPM alikuwa fisadi ,mwananchi wa kawaida atakwambia heri fisadi aliyejenga SGR,heri fisadi aliyenunua ndege,heri fisadi aliyejenga vituo vya afya,Heri fisadi aliyepambana na wauza madawa ya kurevya,heri fisadi aliyebana mafisadi tukaheshimika tuingiapo ofisi za umma,heri fisadi aliyejenga viwanja vya ndege,heri fisadi JPM aliyejenga Madaraja makubwa,heri fisadi JPM aliyetuacha Lita ya petrol ikiwa inauzwa shillinga 2300,heri fisadi JPM aliyesaidia tukienda mahospitali tunapata madawa kuwa urahisi,heri fisadi JPM aliyesomesha watoto wetu bure ,heri fisadi JPM aliyetuhimiza kumuomba Mungi kipindi cha shida.

Mh zitto,unajisahaurisha ufisadi wa nyuma kwa kumpaka matope hayati JPM.? Mbona hukubwajabwaja akiwa hai? Au utasingizingia kuwa ungepotezwa .Nikwambie tu wanaokuelewa niwatanzania wa mitandaoni ambao siyo wapiga kura.Huku mitaani wanamwelewa sana JPM tena wanamkumbuka sana.

Yani wamemumisi kinoma.kama unafikiri ndiyo njia ya kuikuza ACT yako kwa kumsema marehemu ambaye hawezi kujitetea umelaniwa na chama chako na ukoo wako na wengine wenye tabia kama ya kwako nawashauri niwashauri tu muache Mara moja tabia yenu ya hivyo.

Vinginevyo tutajiuliza mengi juu ya usiri wa kifo chake.Kwa nini tulifichwa taarifa za kuumwa kwake?
 
Waliwasaidia,hapo umejibu vema hata Biblia inasema nitamfanya msaidizi lakini sisi tumegeuza wasaidizi kuwa watawala matokeo yake watoto wa mitaani wanaongezeka kwa kasi.
Mbona dunia imeshuhudia uongozi mahiri wa wanawake walioleta mageuzi kwenye nyanja zote za maisha?

Unawafahamu au ulishawahi kuwasikia akina Margaret Thatcher, Queen Elizabeth, Angela Merkel, na wengineo?

Tanzania tunaye Mama Shupavu; Samia Suluhu Hassan. 😂
 
Hawa wasiokuwa mafisadi ndio wanaongoza kukusanya tozo, kodi, misaada na madeni... Halafu zote zinaishia kuliwa kwa urefu wa kamba na kulambia asali. RIP Magufuli.
 
Shetani yule. Tunamshambulia Ili nyie ndugu zake mlionufaika na uovu wake muumie.

Hakika familia yake itapata tabu sana.

Itakataliwa popote mpaka mbinguni.

Muuwaji amekataliwa mbinguni na duniani
 
Pumbafu na shetani wenu
 
Shetani yule. Tunamshambulia Ili nyie ndugu zake mlionufaika na uovu wake muumie.

Hakika familia yake itapata tabu sana.

Itakataliwa popote mpaka mbinguni.

Muuwaji amekataliwa mbinguni na duniani
Then tukiumia ushetani wake ndio unaisha? Umekula kwanza?
 
Hujatuambia leo ni zamu ya nani kulinda kaburi Chato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…