real life skills
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 233
- 238
[emoji120][emoji120][emoji120]Watu wanaongea ukweli uliokua ukifichwa wewe unaona kama ni mashambulizi.
Yaani tunayo kazi ya kubadili mfumo wetu wa elimu watoto hujengewa kutii tu hata uovu kisa kaambiwa na mkubwa wake.
Akiumizwa hawataki azungumze hadharani bali pembeni , mwisho wa siku mkubwa akiwa hayupo akisemwa wanaona ni dhambi kumbe chanzo ni utamaduni.
Hii inayoitwa legacy ni inajipambanua ilivyokua na uchafu wake ndio maana watu hawakupewa upenyo wa kutoa maoni japo chumvi zinaweza kuwepo ila 90% ya yaongelewayo ni sahihi kabisa.
Acha legacy ivune ilichopanda ni wakati wa ukweli kujitenga na uongo na propaganda za miaka 6.
Kule facebook na twitter wamejaa wajinga wa kutosha ambao hawawezi kupambanua mambo sawasawa.Basi wanakuona mjinga ndiomaana wanakusikiliza tu.
Wewe na wenzako wote mnaojitoa akili humu ingieni facebook ama youtube, alafu tafuta mjadala wowote unao muhusu magu hata ule wa zito tu alafu soma comments zote ndio utajua mitaani kunanini.
Basi wanakuona mjinga ndiomaana wanakusikiliza tu.
Wewe na wenzako wote mnaojitoa akili humu ingieni facebook ama youtube, alafu tafuta mjadala wowote unao muhusu magu hata ule wa zito tu alafu soma comments zote ndio utajua mitaani kunanini.
Watu wanataka kuona mambo kwa macho yao kama walivyo shuhudia kwa magu akifanya kazi bilakuchoka.Kule facebook na twitter wamejaa wajinga wa kutosha ambao hawawezi kupambanua mambo sawasawa.
Watu wanaojitambua hawawezi kurisk kumshambulia Magufuli hadharani kutokana na mfumo mbaya aliouacha na wafuasi wajingawajinga kama wewe ambao wengine wako mpaka kwenye vyombo vya usalama. Kwa hiyo,wale waliokuwa wanachukizwa na utawala mbovu wa Magufuli hawawezi kutoka hadharani kwa majina yao halisi huko.
Magufuli aliwashambulia sana watangulizi wake na kusema wamechezea sana nchi, pia walipompa USHAURI akawaambia "Wanawashwa washwa".Ilitoka Samia akiwa madarakani; yet she (and her fellow high profile politicians) never attacked her predecessor as she's been doing lately.
Kwani sasa hivi watu hawapotei? Au watutajie awamu ipi watu hawakuwahi kupotea? Au watutajie duniani ni nchi gani watu hawajawahi kupotea?Ukiondoa Ben saa8,Azori na Lissu ambao mnasingizia kuwa awamu ya tano ilihusika ,je waweza kututajia hao waliyokutwa kwenye viroba ni kina nani? Je kuna familia ililalamika kupoteza ndugu ? tumieni akili.Muna owoga mpaka mnamwogopa marehemu.hahaaaaa.
Umewakilisha mawazo yangu, safi sana, nilishindwa kuwafafanulia, maana vichwa vyao vimejaa pumba alizowajaza Magu.Kule facebook na twitter wamejaa wajinga wa kutosha ambao hawawezi kupambanua mambo sawasawa.
Watu wanaojitambua hawawezi kurisk kumshambulia Magufuli hadharani kutokana na mfumo mbaya aliouacha na wafuasi wajingawajinga kama wewe ambao wengine wako mpaka kwenye vyombo vya usalama. Kwa hiyo,wale waliokuwa wanachukizwa na utawala mbovu wa Magufuli hawawezi kutoka hadharani kwa majina yao halisi huko.
Hao unaowaita "wajinga" hawapigi kura?Kule facebook na twitter wamejaa wajinga wa kutosha ambao hawawezi kupambanua mambo sawasawa.
Watu wanaojitambua hawawezi kurisk kumshambulia Magufuli hadharani kutokana na mfumo mbaya aliouacha na wafuasi wajingawajinga kama wewe ambao wengine wako mpaka kwenye vyombo vya usalama. Kwa hiyo,wale waliokuwa wanachukizwa na utawala mbovu wa Magufuli hawawezi kutoka hadharani kwa majina yao halisi huko.
Mna kakikundi kenu mmeji-organise... Kila uzi ni walewale and so that ain't reflective ya watu wa mtaani.Kwahiyo facebook na youtube ndio mtaani ila huku jf sio mtaani?! Uza ubongo huo bro. Tuko mtaani kama. Kawaida, na huyo dhalimu sio chochote sio lolote.
Unajaribu kumuelewesha mwenye vyeti vya kughushi unafikiri atakuelewa?Watu wanataka kuona mambo kwa macho yao kama walivyo shuhudia kwa magu akifanya kazi bilakuchoka.
Alionekana wazi akitatua matatizo ya wananchi hata barabarani, alidhibiti mfumuko wa bei ya vitu muhimu kama mafutayakula nk.
Aliwajengea stand za kisasa hao unaoita wajinga nchi nzima na mambo mengine mengi unayajua, sema unajifanya tu kama juha.
Kama haowalio chukizwa niwachache kiasi chakushindwa kutoka mbele ya wengi walio furahiya utawalawake then hilo nijambo la kawaida sababu wakatiwote wengi ndio wanaamua kitugani kinafaa kukubalika na wachache inabidi wakubaliane na wengi, kamahataivyo hujui basi endelea kupambana na marehemu.
Kwani Magu alitumia wapiga kura? Si aliwaambia Tume wajaze namba zake zilizompa ushindi, ambazo hazikuendana na idadi ya watu vituoni.Hao unaowaita "wajinga" hawapigi kura?
Wewe ni mwerevu?
Vituo vyote, mpaka vituo hewa. Jiwe aliwaondoa akili za kufikiri, mme bakiwa na mafuvu tu. Hizo forehead mmeachiwa za kupasulia nazi. Ndiyo sababu mnaunga mkono kupita bila kupingwa.Kituo kipi namba hazikushabihiana? Tuwekee hapa.
Hapo kwenu petrol mnanunua buku jero kwa lita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Team jiwe wanaishi kama mashetani sasa awaamini kama mpira umeisha kabla ya dakika 90
Labda Kujenga matundu ya vyooAmefanya kazi gani?
Unatueleza kwa utafakari....Ninajiuliza:
Mama yake nani huyo asiye na Jina?• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?
Huyo juu, najiuliza, Uhuru upi?• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru kama January.
Kama mashambulizi yepi hayo? wakati "wenzao" wamejazana chini ya mti wakishangaa asali ikitonya kutoka kwenye mzinga wa nyukiJe, Zitto (swahiba na mpigaji mwenzie) na wenzao wameona wabadilishe mjadala kutoka kujadili uzembe unaoendelea Wizarani hadi kumshambulia Magufuli knowing Wananchi wata-concentrate zaidi kumtetea Magufuli kuliko kuwashambulia wao?
Awamu ya sita inawezasimikwa na Kura tu! Zaidi ya hapo ni muendelezo wa awamu ya tano kwenye mchakato wa kwenda awamu ya sita• Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?
Hawa kina nani? "Wanaojidhania" ?• Sote tunajua wanaojiita watoto wa mjini siyo smart sana kama wanavyojidhania; au ni upepo tu umewapitia na hivyo bahati ipo upande wao?
Pongezi baada ya dhihaki? mmmmh???Vyovyote iwavyo, wanastahili pongezi.
Kama inavyodaiwa? Yataeleweka. tupo pamoja!Wamefanikiwa kutuhamisha kwenye mijadala yenye masilahi ya nchi kuanzia uendeshaji hovyo wa wizara ya Nishati na Madini, matumizi mabaya ya rasilimali kwa waziri kwenye suala la anuani za makazi, mpaka ziara ya mkuu nje ya nchi kwa zaidi ya week sasa, and still counting.
Umechezwa wapi huu mchezo?Mpaka sasa Sukuma Gang 0 - 3 Msoga Gang
HitimishoHongera zao sana.
😁
Muwe na Alhamisi njema.