Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

Huo ni ujumbe tuu. Ndege 100 zimeingia na hazijafanya lolote. Zimeenda kutalii tuu. Ni sawa na mtu kamtongoza mke wako, mke wako kamkaribisha mpaka kwenye kitanda chako afu jamaa hajapiga mbususu. 😁
 
Na je hizo ndege zilishambulia wapi ?
Suala si imeshambulia wapi suala ni makombora yalifika.

Nukta yako ni kwamba kama Israel ingedhamiria kwa kukomalia Iran ingelipata majanga makubwa.

Swali langu kwako, Israel ilishambulia kwa ndege vita ngapi? Na kila ndege ina uwezo wa kubeba makombora mangapi ikiwa kwenye operation?
 
Images released by Israel’s military showed members preparing to depart for the strikes in American-made F-15 and F-16 warplanes.

The Iranian military statement described Israel’s warplanes as firing lightweight missiles at a distance of 100 kilometers (62 miles) from the Iranian border. The missiles struck air defense radar stations, the military said, some of which were already under repair. (AP)..

Habari hapa chini Kuna habari nyingine Iran inakanusha kutumika ndege 100 (japo habari inasema hivyo) ikiwemo F-35...

Hapo Israeli alikuwa. Anasukutua kwanza bado hajaanza kutafuna hizo kobasi na Lile lemba labwana Ayatoli lazima liungue kama sinawar
Screenshot_2024-10-26-22-54-22-325_com.twitter.android~2.jpg
 
Hii ni Aibu kwa Isramarekan
Hakuna Madhala Yeyote kwa Iran mpaka Sasa
Propaganda nyingi Kuliko Uhalisia
Kwa hiyo wewe unafikiri Wairani watakuja kukutangizia kuwa ni uharibifu wa kiasi gani ambao Waisrael wameufamya?
 
Images released by Israel’s military showed members preparing to depart for the strikes in American-made F-15 and F-16 warplanes.

The Iranian military statement described Israel’s warplanes as firing lightweight missiles at a distance of 100 kilometers (62 miles) from the Iranian border. The missiles struck air defense radar stations, the military said, some of which were already under repair. (AP)..

Habari hapa chini Kuna habari nyingine Iran inakanusha kutumika ndege 100 (japo habari inasema hivyo) ikiwemo F-35...

Kwa kutumia ndege zaidi ya 20 kwenda juu basi Israel ilidhamiria kufanya uharibifu mkubwa sana ila inavyoonekana shambulio limefeli.
Haiwezekani useme hawakudhamiria halafu mtu atumie ndege nyingi kiasi hicho.
Israel imezidi kuonesha aibu aisee.
 
Images released by Israel’s military showed members preparing to depart for the strikes in American-made F-15 and F-16 warplanes.

The Iranian military statement described Israel’s warplanes as firing lightweight missiles at a distance of 100 kilometers (62 miles) from the Iranian border. The missiles struck air defense radar stations, the military said, some of which were already under repair. (AP)..

Habari hapa chini Kuna habari nyingine Iran inakanusha kutumika ndege 100 (japo habari inasema hivyo) ikiwemo F-35...

Mkuu, ngoja kwanza nitafute utulivu, naangalia mpira nikimaliza nitakujibu.
 
Back
Top Bottom