Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Rais wa Marekani, Biden akatiza likizo yake huko Delaware na kurudi Ikulu kujadili kinachoendelea mashariki ya kati, inaaminika usiku wa leo Iran atalipiza kisasi na tayari kaweka sawa makombora zaidi ya 100 na ndege nyuki zisizo na idadi
 
Ndege za kijeshi zenyewe swala la GPS sio issue sana?

Tuachane na hayo. Hivi huko kunataka kutokea nini haswa? Maana hizi ni dalili za jambo fulani
Iran anataka alipize kisasi, ili kuondoa collateral wameona wafunge anga.
Israel imefanya jamming ili kupoteza mabomu yanayotumwa kwa coordinates ie ballistic, drones etc
 
Rais wa Marekani, Biden akatiza likizo yake huko Delaware na kurudi Ikulu kujadili kinachoendelea mashariki ya kati, inaaminika usiku wa leo Iran atalipiza kisasi na tayari kaweka sawa makombora zaidi ya 100 na ndege nyuki zisizo na idadi
Ni kuweka pressure tu ila Iran hatajaribu
 
Ni kuweka pressure tu ila hatajaribu
Anaweza maana asipofanya ataonekana hawezi katumia muda kufikiri na kujipanga offensive and defensive.
Israel ana disadvantage maana yeye anaweza shambuliwa na pande nyingi kwa mpigo ambapo atapigwa sehemu kadhaa maana akitumiwa drones 200 na ballistic 100 hawezi tungua zote ndo maana kajam GPS kwa msaada wa Marekani
 
Jordan imefunga matumizi ya anga lake kwa ndege za kiraia baada ya mfumo wa GPS kutokuwa sahihi.

Nchi zingine ni Kuwait,Iraq,Syria, Bahrain
Na Qantas Airlines imebadili route ikikwepa anga la Middle East for a while! Probably other airlines will follow or directed to follow for "safety reasons".
 
Anaweza maana asipofanya ataonekana hawezi katumia muda kufikiri na kujipanga offensive and defensive.
Israel ana disadvantage maana yeye anaweza shambuliwa na pande nyingi kwa mpigo ambapo atapigwa sehemu kadhaa maana akitumiwa drones 200 na ballistic 100 hawezi tungua zote ndo maana kajam GPS kwa msaada wa Marekani
Mtu mpk ana jam GPS mashariki ya kati yote imepotea huyo si wa mchezo mchezo

Iran anatushia tu hawezi jaribu
 
Na Qantas Airlines imebadili route ikikwepa anga la Middle East for a while! Probably other airlines will follow or directed to follow for "safety reasons".
Hakuna atayepita hapo maana Israel tayari kapaisha ndege angani kusaidia track incoming missiles, drones etc.
Hapa ndo tutaona umuhimu wa FOF
 
Jamani acheni kudanganyana Iran utapoteza kila kitu, hakuna tofauti na enzi za Sadamu na mabomuyake ya scud baada ya Israel kushambulia nuclear plant on Iraq.
Katumia muda mwingi sana kuchukua uamuzi.
Ila Israel naye alikuwa anamuwinda sana ili aanzishe yeye apate sababu

Tutaumia sisi maana mafuta itakuwa shida yapata
 
Back
Top Bottom