Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyasi za huku kusini mwa Jangwa la Sahara ndio tutakaoumia.Hii vita ni kali, mafahari wawili, tuone yupi zaidi
Wala havifananiJamani acheni kudanganyana Iran utapoteza kila kitu, hakuna tofauti na enzi za Sadamu na mabomuyake ya scud baada ya Israel kushambulia nuclear plant on Iraq.
OkMtu mpk ana jam GPS mashariki ya kati yote imepotea huyo si wa mchezo mchezo
Iran anatushia tu hawezi jaribu
Yakitokea wapi? Kwa lengo lipi?Hivi Tz tuna uwezo wa kuzuia mashambulizi kama hayo?
Kwa hiyo,Israel ndo ana support tu,Iran hana wa kumshika mkono?Kwani Israel huchagua silaha? Alishaapa kuizuia Iran kumiliki Nukes, naona kaitafuta sababu hadi kaipata
Hivi mkuu,kama una uelewa na haya mambo,vinazidiana vipi uwezo na madhala yake yakoje?!Inasemekana Iran katuma Ballistic missiles
Biden alikuwa anajua kuwa Iran huwa haitishii nyau!! Alikuwa ana uhakika kuwa Iran lazima utafanya kwelii. Zipo nchi mbili tu ambazo huwa haitishii nyau: Iran na Korea ya Kaskazini. Wazee wa kutishia nyau lakini hawafanyi kitu ni CHINA na Urusi. Ndio maana Marekani haziogopi kivile!Mtu mpk ana jam GPS mashariki ya kati yote imepotea huyo si wa mchezo mchezo
Iran anatushia tu hawezi jaribu
Muislrael kashapigwa huko!
Biden alikuwa anajua kuwa Iran huwa haitishii nyau!! Alikuwa ana uhakika kuwa Iran lazima utafanya kwelii. Zipo nchi mbili tu ambazo huwa haitishii nyau: Iran na Korea ya Kaskazini. Wazee wa kutishia nyau lakini hawafanyi kitu ni CHINA na Urusi. Ndio maana Marekani haziogopi kivile!
Muislrael kashapigwa huko!
Na soko lake la silaha litapanda juu , kabisa .na sasa amesema mtu yoyote atakayegusa maslahi yetu nasi laziam akione cha mtema kuniSure wengi hawalioni hili ila hata West wenyewe kuna kitu wameelewa kwa tukio la jana. Iran hatochezewa tena kizembe.
Jeshi linapigana hovyo hovyo haliwezikuwa jeshj bora ...mfano mrusi angeshambulia kil kitu kinachokatiza hapo mbele si angeshaamaliza vitaHiyo inaweza kuwa Iran ametoa kama warning kwa Mzayuni kwamba anaweza muda wowote kufanya chochote akiendeleza chokochoko zake lakini kusema anapangiwaje silaha za kutumia huo ni uwongo.
Vita yoyote haihitajiki kumbembeleza adui wewe ni kutandika tu mpaka adui aje kujipanga wewe umemaliza sasa kwa scenario hii unadhani Israel akirudisha atambembeleza?huyo akili hana anapiga kumaliza hapigi kuremba so hata wanaopambana nae inabidi wakipata chance wamvuruge hasa.