JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Waisraeli wanaongea kiarabu siku hizi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waisraeli wanaongea kiarabu siku hizi!?
Baba anatakiwa awe na power of handling everything, sasa huyu baba anaunganisha nguvu za majirani ni baba gani huyo?.Hapa ndo naamini iran ni baba wa mashariki ya kati
Rudia tena kwa sautiAnaweza maana asipofanya ataonekana hawezi katumia muda kufikiri na kujipanga offensive and defensive.
Israel ana disadvantage maana yeye anaweza shambuliwa na pande nyingi kwa mpigo ambapo atapigwa sehemu kadhaa maana akitumiwa drones 200 na ballistic 100 hawezi tungua zote ndo maana kajam GPS kwa msaada wa Marekani
Bhangi ni mbaya sanaMiaka ya nyuma raia wa iran walikuwa wakisikia habari mbaya za israeli wanatoka mtaani kuandaman wakiimba death to Israel and USA
Ila leo iran karusha drones kwenda israeli hakuna raia mwenye muda
Ila wananchi walikuwa ktk high tensions kununua mahitaji ya nyumbani in any case
It means Taifa limegawanyika
Ayatollah kimenine anaweza akapitia njia km kadafe ya kuuwawa na kuburuzwa na devu mitaani
Huyo ni mpuuzi kama wale wengine.Mkuu heshimu mawazo ya mtu as long as havunji sheria za jf
Sasa hao majirani si ndio wamemzunguka adui sasa hizbullah peke yake angepewa order aichukue Golan anaichukua asubuhi na mapema na wanajiita tu hizbullah lakini ndani yake unawakuta iranian elite force humo humo wanasikilizia tu wanabehave kama jirani ila mtiti ukiwa mtiti wanasehemu ya kuanzia wewe unadhani muarabu wa gaza amewezaje kusimama uwanja wa vita 7 month hadi leo kama sio misaada ya kutosha .Baba anatakiwa awe na power of handling everything, sasa huyu baba anaunganisha nguvu za majirani ni baba gani huyo?.
Sio sita ni zaidi ya 11 maana kuoa na kuacha ndio ilikuwa zake. Ajabu wake wote hao kaacha kitoto kimoja tu cha kike Fatuma! Highly questionable!Muhamad alikuwa na wake saidi ya 6 sasa atakuwaje shoga?
Labda ungemongelea paulo ambaye mpaka ana kufa hakuwahi kuiona mbususu.
Asilimia 22 ya raia wa Israel ni waarabu.Waisraeli wanaongea kiarabu siku hizi!?
Sasa shoga atawezaje kumiliki wake wote hao?Sio sita ni zaidi ya 11 maana kuoa na kuacha ndio ilikuwa zake. Ajabu wake wote hao kaacha kitoto kimoja tu cha kike Fatuma! Highly questionable!
Siwa underate hezbolla , ila kusema wanaweza kuchukua gollan heights kirahis hivyo unawakuza sana. Si rahis kama unavyoandika kwenye keyboardSasa hao majirani si ndio wamemzunguka adui sasa hizbullah peke yake angepewa order aichukue Golan anaichukua asubuhi na mapema na wanajiita tu hizbullah lakini ndani yake unawakuta iranian elite force humo humo wanasikilizia tu wanabehave kama jirani ila mtiti ukiwa mtiti wanasehemu ya kuanzia wewe unadhani muarabu wa gaza amewezaje kusimama uwanja wa vita 7 month hadi leo kama sio misaada ya kutosha .
Sina pressure mkuu. It was expected na Iran alijua miaka zaidi ya 10 nyuma kwamba hatarajii kutumia GPS kushambulia Israel. Nasubiri majibu ya Israel, haya mashambulizi ya Iran yamekuwa weak sanaMkuu T14 Armata hivi Umepita hapa 😐😐
Good nilihitaji tu maoni yako mkuu maana sijazoea kukukosa kwenye mada kama hizi, angalau wewe huwa unaandika Uhalisia hauko biased, nami nasubiria Israel ijibu na ikijibu watu wasianze mayoweSina pressure mkuu. It was expected na Iran alijua miaka zaidi ya 10 nyuma kwamba hatarajii kutumia GPS kushambulia Israel. Nasubiri majibu ya Israel, haya mashambulizi ya Iran yamekuwa weak sana
Yule kijana wa Kitanzania aliyeuawa kule Israel alienda kusomea mambo ya kilimoAcha wapigane tu, tutawauzia vyakula
Acha tuoneLeo ni leo, Israel lazima ampelekee idadi zaidi