Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Sina pressure mkuu. It was expected na Iran alijua miaka zaidi ya 10 nyuma kwamba hatarajii kutumia GPS kushambulia Israel. Nasubiri majibu ya Israel, haya mashambulizi ya Iran yamekuwa weak sana
Hii ni kujifariji kusema kuwa mashambulizi yalikuwa weak kiuhalisia USA,UK, na France wametoa support kubwa sana na yote sabbabu mashambulizi yametoka mbali imekuwa rahisi kujipanga kuyakabili ila naamini kabisa vita vikianza mashambulizi yataanzia karibu Iraq Syria na Lebanon
 
Sasa hao majirani si ndio wamemzunguka adui sasa hizbullah peke yake angepewa order aichukue Golan anaichukua asubuhi na mapema na wanajiita tu hizbullah lakini ndani yake unawakuta iranian elite force humo humo wanasikilizia tu wanabehave kama jirani ila mtiti ukiwa mtiti wanasehemu ya kuanzia wewe unadhani muarabu wa gaza amewezaje kusimama uwanja wa vita 7 month hadi leo kama sio misaada ya kutosha .
Kila nchi ina washiriki wake, wawe wa siri au wa dhahiri
Ni kweli Hamas anapata na alipata msaada mkubwa nje na alianza kujipanga zamani sana na kujiandaa vilivyo
Hezbollah ni Iran moja hiyo na Israel anajua akijibu itakuwa kosa kubwa sana
Ila kwa sasa naona Netanyahu ataongea kwa adabu 😄
 
BREAKING

Estimated military cost of last night's operations based on the figures published in the media:

110 ballistic missiles: 30-50 million dollars

45 cruise missiles: 4-7 million dollars

170 Shahed-136: 4-5 million dollars

Total: 62-38 million dollars

The collective West spent 1.1 billion dollars defending Israel
 
Mzee airbase ndio ilikuwa target Ramon na imepigwa na kitendo tu cha kusema lazima nilipize despite mikwara ya usa ,despite mikwara ya uk na all euro country lakini muiran kusema nalipa na despite kuwa na militafy base za usa na mairdefense kila kona na kuilinda israel lakini madude yamefika ndani ya airspace ya israel huo ni ushindi na projection of power kwa muiran yaani amedhihirisha uwezo aliokuwa nao kuwa kwa technologia yake ameweza kumeet his demands sio jambo dogo kwa military strategy now iran anakuwa regional power na message iko clear dont try it again against our interest lazima tutalipiza kutupia madude over 1500km with precision tunaweza na tunachokisema ndio tunachokifanya its loud and clear.
Sure wengi hawalioni hili ila hata West wenyewe kuna kitu wameelewa kwa tukio la jana. Iran hatochezewa tena kizembe.
 
Ndio maana nasemaga hizi serikali zetu za Kiafrika ziwe angalao zinatengeza silaha za kujihami maana tutakuja kuvamiwa na Ayatolah tubaki tunamwangalia.
433898894_382726981192162_9040453771690272891_n.jpg
 
Picha feki na video za zamani zimetumika sana kipindi hiki.

Unakuta picha ni ya tukio la huko Chile ila mtoa "taarifa" anakuambia; "hapo ni Israel, raia wanakimbia makazi yao".

Mitandaoni, picha za matukio yanayoendana na narrative ya mtoa "taarifa" huwa hazikosekani. Ni mwendo wa kubadili captions tu.
 
Picha feki na video za zamani zimetumika sana kipindi hiki.

Unakuta picha ni ya tukio la huko Chile ila mtoa "taarifa" anakuambia; "hapo ni Israel, raia wanakimbia makazi yao".

Mitandaoni, picha za matukio yanayoendana na narrative ya mtoa "taarifa" huwa hazikosekani. Ni mwendo wa kubadili captions tu.
Unaumizwa Sana na kitengo Cha Iran huko Israel,zile story za Israel Ina jeshi hatari sijui upumbavu gani,zimeisha
 
Katumia muda mwingi sana kuchukua uamuzi.
Ila Israel naye alikuwa anamuwinda sana ili aanzishe yeye apate sababu

Tutaumia sisi maana mafuta itakuwa shida yapata
Shida yetu itakuwa kitambo tu kuliko ugaidi, Israel acha amchape huyo Iran.
 
Unaumizwa Sana na kitengo Cha Iran huko Israel,zile story za Israel Ina jeshi hatari sijui upumbavu gani,zimeisha
Zingatia context ya hoja yangu.

Ukishambulia mahali kijeshi ukafanikiwa, na unataka watu waamini kuwa umefanikiwa, basi leta ushahidi wa eneo halisi la tukio wenye kuthibitisha madai yako, na sio kutumia picha na video za matukio ya zamani ambayo hayahusiani na kile ambacho unataka kuaminisha kadamnasi.
 
Unawapangiaje Jeshi la Iran na Serikali yake aina ya Silaha za kurusha.

How ?

😀
Hiyo inaweza kuwa Iran ametoa kama warning kwa Mzayuni kwamba anaweza muda wowote kufanya chochote akiendeleza chokochoko zake lakini kusema anapangiwaje silaha za kutumia huo ni uwongo.

Vita yoyote haihitajiki kumbembeleza adui wewe ni kutandika tu mpaka adui aje kujipanga wewe umemaliza sasa kwa scenario hii unadhani Israel akirudisha atambembeleza?huyo akili hana anapiga kumaliza hapigi kuremba so hata wanaopambana nae inabidi wakipata chance wamvuruge hasa.
 
Zingatia context ya hoja yangu.

Ukishambulia mahali kijeshi ukafanikiwa, na unataka watu waamini kuwa umefanikiwa, basi leta ushahidi wa eneo halisi la tukio wenye kuthibitisha madai yako, na sio kutumia picha na video za matukio ya zamani ambayo hayahusiani na kile ambacho unataka kuaminisha kadamnasi.
Shauri yako,Lia Kama umeumia sana, Iran hahitaji kukuonesha wewe video ya shughuli zake
 
Iran mjanja, anesubiri israel amechoshwa na hamas na yye ndo akaingia
 
Back
Top Bottom