Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Cha msingi baadaye hatutaki maandamano ya misikitini ya free Iran.Biden alisema "Please don't" na Iran kafanya. Hii ndo maana halisi ya taifa huru.
Hapo kinatafutwa kichwa cha Ayatollah, wamewekewa mtego wamejaa.