Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Mkuu hii nimeiona,hapo sasa tunaweza kuongea kitu kimoja
Nyengine hii yapa sehemu zilizoshambuliwa na raia wengine wakilia.

Ila huu mzozo ni hatari. Sipati picha Israel akirudisha mapigo. Kwa sababu akirudisha ina maana kwa usaidizi wa US, UK, na France.

Iran amemwambia US akimshambilia tu ataruhusu Hizbullah iaznzishe mashambulizi makali kwa upande wa Kaskazini na Syria ishambulie kwa kutokea military ya kule waliyopokonywa na Israel.

Kwa ufupi hii vita US alikuwa na uwezo wa kuizuia sijui amefeli wapi!
 
Attachments

  • jacksonhinklle_20240413__1779297211232207100_1_17792955216574832650.mp4
    449.5 KB
Nyengine hii yapa sehemu zilizoshambuliwa na raia wengine wakilia.

Ila huu mzozo ni hatari. Sipati picha Israel akirudisha mapigo. Kwa sababu akirudisha ina maana kwa usaidizi wa US, UK, na France.

Iran amemwambia US akimshambilia tu ataruhusu Hizbullah iaznzishe mashambulizi makali kwa upande wa Kaskazini na Syria ishambulie kwa kutokea military ya kule waliyopokonywa na Israel.

Kwa ufupi hii vita US alikuwa na uwezo wa kuizuia sijui amefeli wapi!
Huu mzozo Israel akijibu basi shughuli itakuwa kubwa sana
 
Nyengine hii yapa sehemu zilizoshambuliwa na raia wengine wakilia.

Ila huu mzozo ni hatari. Sipati picha Israel akirudisha mapigo. Kwa sababu akirudisha ina maana kwa usaidizi wa US, UK, na France.

Iran amemwambia US akimshambilia tu ataruhusu Hizbullah iaznzishe mashambulizi makali kwa upande wa Kaskazini na Syria ishambulie kwa kutokea military ya kule waliyopokonywa na Israel.

Kwa ufupi hii vita US alikuwa na uwezo wa kuizuia sijui amefeli wapi!
Aisee,inaogopesha sana
 
Tatizo la Marekani na washirika wake wanaidekeza mno Israel kiasi cha Israel kujiona ina haki ya kufanya chochote bila kuguswa.
 
Muhamad alikuwa na wake saidi ya 6 sasa atakuwaje shoga?
Labda ungemongelea paulo ambaye mpaka ana kufa hakuwahi kuiona mbususu.
Shoga anaweza oa wake hata 20
 
Iran imemwambia ime target maeneo muhimu kama kambi za jeshi n.k

Imesema ilichofanya ni kulipa kisasi.

Imesema ilichokifanya ni rashia rashia.

Imesema majibu yoyote yatakayotolewa na Israel au washirika wake Iran itayajibu ipasavyo.
Wataamua sasa Kusuka au Kunyoa..
 
Back
Top Bottom