Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

RT: West Jerusalem and its allies have reportedly shot down more than 100 UAVs
 
Miaka ya nyuma raia wa iran walikuwa wakisikia habari mbaya za israeli wanatoka mtaani kuandaman wakiimba death to Israel and USA

Ila leo iran karusha drones kwenda israeli hakuna raia mwenye muda

Ila wananchi walikuwa ktk high tensions kununua mahitaji ya nyumbani in any case

It means Taifa limegawanyika

Ayatollah kimenine anaweza akapitia njia km kadafe ya kuuwawa na kuburuzwa na devu mitaani
 
Iran inatia shaka sana inawezekana vipi urushe midude kwa maelfu then vyote vibonyezwe
Amerusha drones na missile ili mfumo wa israel uwe overwhelmed.

Drones zimelipuliwa nyingi na Marekani, UK, France na nyengine Jordan.

Jordan imelipuliwa missile moja na imeanguka.

Ila missile nyengine zimepenya na kupiga Israel.

Iran ameoinya Jordan. Ameiambia ikijaribu tena makombora naye yatamhusu.

Iran imerusha tena missile nyengine dakika 20 zilizopita.
 
Iran inatia shaka sana inawezekana vipi urushe midude kwa maelfu then vyote vibonyezwe
Zile drone za kamikaze zinatembea kwa Masaa mkuu.

Balistic missiles ni dk 10-20 na Hypersonics ni Dk 5-10.

Ni aina ya silaha waliocjagua kama Retaliation.

Zingepigwa Ballistic kadhaa au Hypersonics, Tungekuwa na story nyingine hapa boss.

Sote tunajua KAMIKAZE na sifa zake.
 
Miaka ya nyuma raia wa iran walikuwa wakisikia habari mbaya za israeli wanatoka mtaani kuandaman wakiimba death to Israel and USA

Ila leo iran karusha drones kwenda israeli hakuna raia mwenye muda

Ila wananchi walikuwa ktk high tensions kununua mahitaji ya nyumbani in any case

It means Taifa limegawanyika

Ayatollah kimenine anaweza akapitia njia km kadafe ya kuuwawa na kuburuzwa na devu mitaani
Raia wapo waliyoandamana kwa kuiunga mkono serikali yao kwa kulipa kisasi dhidi ya Israel.
 
Zile drone za kamikaze zinatembea kwa Masaa mkuu.

Balistic missiles ni dk 10-20 na Hypersonics ni Dk 5-10.

Ni aina ya silaha waliocjagua kama Retaliation.

Zingepigwa Ballistic kadhaa au Hypersonics, Tungekuwa na story nyingine hapa boss.

Sote tunajua KAMIKAZE na sifa zake.
Kwanini wamechagua hizo walizochagua,lengo lao nini nini?
Hapa tuseme tu Israel na washirika wake wamejitahidi sana
 
Kuna swali nataka nikuulize Ina maana una ndugu Iraq, Jerusalem, na Iran pote wanakutumia video?
Nimeuliza sio kwa ubaya
Nina ndugu Iran na Yemen. Hivyo napata link kutoka kwenye hayo magroup kwa msaada wa ndugu zangu. Nyengine wananirushia moja kwa moja wenyewe.

Mfano kama hiyo nyengine ni kutoka magroup ya waarabu Ukanda wa Lebanon wamechukua video baadhi ya makombora yaliyotua Israel.
 
Iran mwoga sana
Zile drone za kamikaze zinatembea kwa Masaa mkuu.

Balistic missiles ni dk 10-20 na Hypersonics ni Dk 5-10.

Ni aina ya silaha waliocjagua kama Retaliation.

Zingepigwa Ballistic kadhaa au Hypersonics, Tungekuwa na story nyingine hapa boss.

Sote tunajua KAMIKAZE na sifa zake.
 
Yaani hundreds of drones from Tehran have been intercepted.
 
Back
Top Bottom