Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Vimeingia wapi wewe jamaa? Isije ikawa unaangalia marudio ya sherehe za mkesha wa mapinduzi ya SMZ maana Huwa wanapiga fashi fashi pia.Bro vitu vimeingia ndani ya israel despite kujam GPS na maelecyromic warafare devices ya wazungu wala nini drones zinatembea kilometa 1500 na zinafika zinakotakiwa zifike mpersia mwamba aisee hii naona ni kutuma ujumbe kwa ulimwengu oneni ,je mmeona na kweli tumeona.