Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
AhsanteNina ndugu Iran na Yemen. Hivyo napata link kutoka kwenye hayo magroup kwa msaada wa ndugu zangu. Nyengine wananirushia moja kwa moja wenyewe.
Mfano kama hiyo nyengine ni kutoka magroup ya waarabu Ukanda wa Lebanon wamechukua video baadhi ya makombora yaliyotua Israel.