MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Israel hajawahi kuhofia chuki ya dunia.
Ameshafanya targeted killings nyingi, mabalozi wake hua wanafukuzwa nchi nyingi, nchi za Ulaya zitalaani alichofanya ila hua harudi nyuma.
Hio hoja yako ni ya kitoto sana
Kwenye historia ya vita vita vya Israel, sikumbuki hata moja wamefanya kama walichofanya juzi, wameisambaratisha Gaza na kifanya magofu na kuua mazombi ya dini yenu zaidi ya 15,000 aisei hicho ni kipigo cha mbwa....