Mashehe na Maaskofu wanaohangaika kumuombea Dua Paul Makonda wanajisikiaje anapotajwa waziwazi kushiriki kushambulia watu?

Viongozi wa dini wapo kwa ajili ya watu wenye dhambi siyo wasafi pekee.
Yesu alishasema yafuatayo :-
Marko 2:17
17 Yesu aliposikia haya aka waambia, “Wenye afya nzuri hawahitaji daktari, bali wagonjwa wanamhitaji. Sikuja kuwaalika wenye haki, bali wenye dhambi.”
 
Amen
 
Reactions: UCD
Ukitoa uhai wa mtu, hata iwe mafichoni kivipi, unaweza usichukuliwe hatua labda kwa cheo chako au peza zako, lakini utajulikana tu.
Na utakuja kuumia baadaye kabla hujafa.
Umeshaona polisi aliyekua mkatili anavyoteseka akikaribia kufa au nesi wa labour Ward ambaye hakutimiza wajibu wake watoto na WAZAZI wakafa anavyoteseka akishastaafu?
Kazi ya kutoa uhai tumwachie Muumba tu.
 
Kwani mbona mmeo DJ hutajwa sana kuteka watu lakini bado anaendelea kwenda kanisani na kuombewa!!?
 
Viongozi wa dini makini hawafanyi mambo kwa mihemko,wanamiongozoyao ya jinsi ya kudili na wauminiwao.

Hakuna mkamilifu hapa duniani, tatizo la chadema ni wafuasi uchwara ambao wana hemkwa sana bila fact.
 
hao mashehe na maaskofu njaa tupuuuu
 
Viongozi wa dini makini hawafanyi mambo kwa mihemko,wanamiongozoyao ya jinsi ya kudili na wauminiwao.

Hakuna mkamilifu hapa duniani, tatizo la chadema ni wafuasi uchwara ambao wana hemkwa sana bila fact.
Hoja hujibiwa kwa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…