Mashehe wana hoja kuhusu umri wa kuolewa

Miaka 14?
Ndivyo ilivyokuwa enzi za nyuma, sema miaka ya hivi karibuni mabinti wanatakiwa sana kuvunja ungo. Lakini kama unakumbuka HATA KATIBA YETU inaruhusu binti wa umri huo (kama sikosei) kuolewa kwa idhini ya wazazi. Baadaye iliwekwa sheria ya elimu ili kuzuia ndoa za baada ya shule ya msingi na sekondari.

Tunaposema ndoa za utotoni tunamaanisha nini hasa? Mabinti wa miaka 14 siku hizi ni mafundi vitandani, miaka 16 wengine tayari ni makahaba full time. Hoja ni kwamba hawezi kuhimili kitanda au nini hasa?

Juzi kulikuwa na thread hapa jukwaani kwamba kuna mchungaji huko Uganda aliweka zawadi kwa binti atakaye olewa akiwa bikira, MPAKA SASA HAKUNA ALIYEFAULU. WHY??? Sababu kuu ni kuwatelekeza mabinti wakafundwe na walimu mashuleni. Leo hii kuwa bikira ni jambo la kuchekwa na kudharauliwa na mabinti wenzake. Mabinti wanajisifua ubora wa boyfriends, unatarajis upate bikira? No way!
 
At least nakuelewa sasa
 
Ubakaji wa waz
Kwa akili za kisasa, lakini bibi zetu waliolewa hivyo na hakukuwa na ubakaji. Hiyo ni modern view tena usijidanganye kama ni mtazamo wa siku nyingi. Hayo yamekuja juzi tu.

By the way, mimi nimenukuu Biblia, kama Mwenyezi Mungu aliruhusu ubakaji, basi wewe ndio umuhimu. Mimi nineonesha tu uumbaji wake
 
Sawa mkuu
 
binti anavunja ungo miaka 9-10 anaferi darasa la saba miaka 13-14 tayari ana mabwana umri wa baba yake
leo unatunga sheria asiolewe mpaka miaka 18 atamoa nani nung'ayembe kesha chakaa
Stupid!
 
binti anavunja ungo miaka 9-10 anaferi darasa la saba miaka 13-14 tayari ana mabwana umri wa baba yake
leo unatunga sheria asiolewe mpaka miaka 18 atamoa nani nung'ayembe kesha chakaa
Stupid!
Huo ndio ukweli mkuu
 
Kama kweli unajua maandiko ungenioa ufafanuzi nielewe, unaongea kama mtu asiye na hoja bali ameshikilia msimamo fulani. Maandiko sio aya za kukariri, learn that!
yaaan utumie biblia kuhalalisha mtoto wa miaka 14 aoleweee wapi na wapiii nduguuu nipe fungu?????sio lazima uchangie hoja kam una lakusema nyamazaaaa
 
Umeongea vitu vya msingi sana. Niliwahi kuwa na girlfriend wangu miaka ya nyuma nikataka kufunga naye ndoa, baadaye niligundua hakuwa mtu sahihi kwangu tukaachana kwa amani kabisa. Mbeleni nilikuja kumwambia hatukuwa sahihi kufunga ndoa sababu tulikuwa tukipishana sana mawazo, akanijibu kuwa alisharidhika na mimi na alichokuwa akikofanya ni kuni-shape ili niwe apendavyo yeye zaidi. Nikamwambia hiyo ndiyo ikikuwa shida yake kubwa kwa sababu mimi ndiye natakiwa kum-shape yeye afuate dira yangu kwa kuwa mwanaume ndiyo kichwa cha familia. Hii yote imetokana na kumkuta tayari anayo maisha yake japo aliamua kutoka kwao ili tu apate uhuru na mimi.
 
Nakumbuka kusa cha Rebekahkwenye Biblia, alipoposwa kwa ajili ya Isaac mtoto wa Abraham, ndugu wa mwanamke walipendekeza dada yao akae kwao kwa muda Kisha watamruhusu aondoke kwa munewe, japo yule mtumwa wa mzee Abraham alikataa, bado Rebekah aliondoka na yaya wake aliyemlea. Hii inamaana huko aliendelea kupata mafunzo ya namna ya kuishi na mumewe.
 
Unaniuliza mimi tena, mimi naona unatangatanga tuu, ndio kusema uzito wa title ya uzi umekushinda ukahamishia kwenye slavery ambayo unalazimisha tujadili kwa kutumia copy paste ya articles unazotoa wikipedia.
Nakwambia hivi, ukishakubali kuongozwa na dini, umekubali ku suspend logic.

Bisha.
 
Unaelewa kwamba hata hili andiko lako la kunikataza kupata mambo Google linaweza kupatikana kwa kutumia Google?

Pinga hoja kwa udhaifu wa content, si kwa content imetoka wapi.

Nimekuuliza nikikupa maneno ya vitabu vya dini yako ambayo nimeyapata kwa kutumia Google utayakubali kwa sababu ni maneno ya vitabu vya dini yako, au utayakataa kwa sababu ni maneno niliyoyapata kwa kutumia Google?

Hujanijibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…