Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Sasa hiyo aya imekataza wapi mwanamke kuongoza? Hiyo ndiyo imempoa mwanamke utukufu, wanaume hapo ni waangalizi (walinzi) tu wetu.

msitake kupindisha maana za aya kwa ujinga wenu tu. Haiendi hivyo.

Hata "nature" hamuoni?
Subhanallah Waangalizi maana yake ni Walinzi??

Embu kaagalie maana ya ู‚ูˆู…ูˆู†
 
Sasa Tanzania ni nchi ya waislamu!? Vipi wakristo/wapagani tunaona mwanamke utuongoza ni sahihi!?
 
SS soma Qur'an uon Malkia wa Sheba alivyosifiwa.

Halafu uamuwe, niifate Qur'an, isiyo na shaka ndani yake, au porojo za watu?
Hizo ni stories ambazo Quran ili desa kwenye vitabu vya watu wa kale. Hiyo mistari niliyoweka umeielewa?je ina shaka?maana unaji contradict. Kiingereza una kielewa?
 
Subhanallah Waangalizi maana yake ni Walinzi??

Embu kaagalie maana ya ู‚ูˆู…ูˆู†
Si amechaguwa neno la Kiswahili, mimi nimetafsiri la Kiarabu "qawamunna" ambalo halina tafsiri ya moja kwa moja kwa Kiswahili, linaweza kuwa msimamizi. mlinzi, bodyguard. mwezeshaji. Lakini halipo kisiasa wala kicheo.
 
Kazi kwenu waisilamu, je, mtaasi maandiko ya Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?
Hayo aliyoyasema Shehe di msneno yake bali ni maagizo toka kwa Mtume.
Kwenu Bakwata, je, nanyi mtamuasi Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?

hata sisi kwenye Maandiko Matakatifu (Biblia) haijawahi kumruhusu mwanamke akawa mfalme. Mwanamke haruhusiwi kumuongoza na kumtawala mwanaume. Ni uasi! tena mkubwa sana.
 
Si amechaguwa neno la Kiswahili, mimi nimetafsiri la Kiarabu "qawamunna" ambalo halina tafsiri ya moja kwa moja kwa Kiswahili, linaweza kuwa msimamizi. mlinzi, bodyguard. mwezeshaji. Lakini halipo kisiasa wala kicheo.
ู‚ูˆู…ูˆู† iliyotumika hapo imetumika kwa Maana ipi?

Zingatia maneno ya mbele yake.

"kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa"
 
Itikadi ya kiislamu katika masuala ya kuomba uongozi ni tofauti na mfumo wa uongozi wa kimagharibi au ule unaoitwa demokrasia, mwanazuoni afafanua

View: https://m.youtube.com/watch?v=Jpf8BYsVLYY
Mtu hajipeleki kuomba uongozi na kwa mujibu wa hadithi za Mtume ni fedhea na maumivu kuomba uingozi, hili tendo la kuomba uongozi ni ukafiri kwa mujibu wa imani ya kiIslamu ...
 
hata sisi kwenye Maandiko Matakatifu (Biblia) haijawahi kumruhusu mwanamke akawa mfalme. Mwanamke haruhusiwi kumuongoza na kumtawala mwanaume. Ni uasi! tena mkubwa sana.
Wewe si Mkristo.
Waamuzi 4:4

The queen of Sheba is mentioned in 1 Kings 10:1โ€“13 and 2 Chronicles 9:1โ€“12 in the Hebrew Bible as well as in the Gospels of Matthew and Luke in the New โ€ฆ
 
ู‚ูˆู…ูˆู† iliyotumika hapo imetumika kwa Maana ipi?

Zingatia maneno ya mbele yake.

"kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa"
Hakuna tatizo wala shaka hapo. Wala hakuna uongozi wala siasa hapo.

Kiislam mwanamme akiowana na mwanamke ni wajibu wake kumlisha na kumvisha mkewe na wanawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ