Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu.
Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary).
Hubirini kuhusu kupotea ka watu na kufa mikononi mwa polisi na mambo kma hayo!